Utachagua kipi kati ya mume/mke na pesa?

Utachagua kipi kati ya mume/mke na pesa?

hilo swali hata mimi huwa najiuliza kwa wale ambao wanaua mama baba mke au mtoto hizo pes wala na nani?
back to the topic lets say scenario haihusiani na uhai wa mkeo kuna hali yoyote inayoweza kukufanya uchgue pesa juu ya mume mkuu?
Unless you are heartless being from another planet or too greedy that the greed blinds you and removes humanity from you. Otherwise there is no situation that warrants choosing money over your wife.
 
There is nothing like a scenario that will warrant you choosing money over your wife unless you are a lunatic.
 
Asante Valentina kwa mchango wako lakini je kuna wakati au kuna hali inaweza ikatokea ambayo inaweza kukufanya uchague pesa juu ya mume wako?
Labda kama simpendi ila as long as upendo wangu umelala kwake sioni mbadala wake kwakweli.

Wachukue vyote mume wangu waniachie
 
asante Senee kwa mchango wako lakini je wewe kuna wakati ambao hujikuta unaona pesa ni bora kuliko mume wako?
Usitake kuifanya mada yako iwe ndefu mkuu.

Ukweli ni kuwa hakuna scenario yoyote inayoweza kufanya pesa ikawa ni bora zaidi ya mume au mke.
 
asante mkuu Mzimu wa Kolelo tena kwa kujibu kwa mtiririko,ila je kuna wakati au kuna hali ambazo unahisi unaweza kuchagua pesa juu ya mke wako?
pesa aina nafasi kwa mkewangu kipenzi ambaye nikimuangalia ananivutia nikirudi nyumbani chakura ananipika amenizalia mabinti warembo wawili wazuri
wakati wa kukatatamaa unitia moyo
nikikosa pesa hunipumbaza kwa tabasamu mwanana penzi la haja akinikosea huniomba msamaha nikimuudhi unipa makavu kwa busara
nikiinua sauti juu yeye huipunguza
yaan na vire alivyo MREMBO na anavyojua kuhutumia mwili wake vizuri kunipumbaza akili yangu wakati tumbo kitandani
na vire ananyompenda na kumlea MAMAANGU kipenzi ambaye sasa anaingia uzeen na km unavyojua wakwe wa kike wakienda uzeen walivyo na maudhi
na ndie mlinzi pekee wa nyumbani kwangu

HIVYO PESA AINA THAMANI KWA MKEWANGU KIPENZI NA HAKUNA HALI YOYOTE ITAKAYOBADILISHA HILO
 
Pesa haina nafasi kabisa mkuu. Mapenzi kwanza na pesa itafuata baadae
 
Unless you are heartless being from another planet or too greedy that the greed blinds you and removes humanity from you. Otherwise there is no situation that warrants choosing money over your wife.
mkuu ubarikiwe kwa mawazo hayo lakini nataka tu nikuambie wapo ambao wanachoose money over their spouses ndo maana kuna matukio kibao mume au mke anamtoa mwenzi wake kafara au anamuua just for the sake of money na ndo maana leo nimelileta hili tulijadili kwa pamoja tuone hao wenzetu nini huwa kinawapata.
 
Usitake kuifanya mada yako iwe ndefu mkuu.

Ukweli ni kuwa hakuna scenario yoyote inayoweza kufanya pesa ikawa ni bora zaidi ya mume au mke.
Mokoyo na wewe pia usitake kufanya kama mambo kama haya hayapo siamini mpaka hapo hujawahi kusikia mume au mke kamtoa uhai au kafara spouse wake kwa aliji ya pesa hivyo naomba niache tu niulize maswali niwe narefusha maada au la kwa sababu haya mambo yapo sana kwenye hizi jamii zetu
 
Duuuh!!! Ukistaajabu ya musa lazima na ya.firauni uyaone??

Kwa majibu yenu sielewi kwa nini kila siku mnalalmika kuwa pesa na mali vimeharibu mahusiano?? Kila mara hapa mnakuja na nyuzi kulalama demu/mke kawaacha sababu ya pesa/mali.

Leo mbona mko tofauti mnajifanya mnawapenda wake zenu/waume zenu dhidi ya pesa/mali.
 
There is nothing like a scenario that will warrant you choosing money over your wife unless you are a lunatic.
lakini mkuu unakubaliana na mimi kwamba wapo ambao hey choose money over their spouses au haya mambo ni ya kufikirika tu?
 
lakini mkuu unakubaliana na mimi kwamba wapo ambao hey choose money over their spouses au haya mambo ni ya kufikirika tu?
Ndiyo, na ni wengi tu na hii si ajabu ila hawapaswi kupewa jina la heshima kama mume/mke wa mtu maana mume /mke ina maana pana sana kikubwa kikiwa ni utu na mapenzi. Unayempenda utafurahi kikibaya kikimtokea? Hawa wanaochagua pesa dhidi ya wake/waume zao ni sawa na wanaomchagua shetani na kumwacha mungu kisa vya shetani vinapendeza kwa mda huo ila yana majuto ya milele.
 
mkuu ubarikiwe kwa mawazo hayo lakini nataka tu nikuambie wapo ambao wanachoose money over their spouses ndo maana kuna matukio kibao mume au mke anamtoa mwenzi wake kafara au anamuua just for the sake of money na ndo maana leo nimelileta hili tulijadili kwa pamoja tuone hao wenzetu nini huwa kinawapata.
I agree with you.
 
Labda kama simpendi ila as long as upendo wangu umelala kwake sioni mbadala wake kwakweli.

Wachukue vyote mume wangu waniachie
nipo pamoja na wewe aisee hakuna kitu juu ya mume unayempenda aisee yote yanafata baada yake
 
Nadharia hizi...!
basi umeishi sehemu moja au hujakuwa wide kujua maeneo mbalimbali kujua dunia invayoenda kiasi kuona kuwa hizi ni nadharia unless otherwise unataka tu ubishi pole kwa hilo mkuu
 
shikamooni wakubwa wadogo marahaba na wa rika langu mambo zenu habari zenu mwajionaje na hali

Haya leo naombeni tulijadili hili wote wanawake kwa wanaume,leo hii ukiambiwa uchague kati ya pesa na mume/mke utachagua nini.Nitatoa scenario kadhaa ili tuone application ya hili

1.Mmevamiwa na majambazi yakakupa choice waue mke/mume ubaki na pesa au pesa zote zichukuliwe ubaki na mumeo mkeo unachagua nini?

2.una mali nyingi lakini ghafla unayumba kiuchumi mtu fulani mwenye pesa zake anakwambia uchague akusaidie uchumi wako urudi kama zamani ila umpe mkeo au azidi kukuyumbisha kiuchumi ubaki na mkeo/mmeo unachagua nini?

3.Leo umepewa nafasi moja tu uchague kati ya vitu hivi viwili mke/mume mzuri soulmate wako mnayematch anayechangia furaha yako kwa kiasi kikubwa au pesa na kila kitu cha fahari unachagua nini?

4.Mkeo/Mmeo anaumwa yupo hoi na uwezekano wa kupona kwake upo ila matibabu yake ndo almost mali na pesa zenu zote tena mmezipata kwa shida mno na kwa muda mrefu,ukiamua atibiwe maanake pesa hamna unabaki na mume/mke ukimwacha maana yake unabaki na pesa zako ila hakuna mke au mume unachagua nini?

N:B Hapa naomba ieleweke kabisa siongelei wale wenzangu na mimi wa hit and run au cheap and quick sex naongelea zile hisia ambazo mtu aliyebahatika kuwahi kukutana nazo zile hisia za ukweli za upendo kati ya mume na mke wanaopendana katika shida na raha ambao watafanya wanachoweza kuhakikisha wenzi wao wana furaha kikweli kama mifano ya picha kadhaa hapa

th

th

th

th

Narudia tena toipc yetu haisuani na easy and quick sex.

Nipo tayari kusahihishwa na kuelimishwa

karibuni wadau tujadili kwa pamoja.
Bora pesa sbb sioni umuhim wa mke km anawez kukusaliti ukiwa hauna pesa.mke anidharau me namsahau.hela ndo ishu bana
 
basi umeishi sehemu moja au hujakuwa wide kujua maeneo mbalimbali kujua dunia invayoenda kiasi kuona kuwa hizi ni nadharia unless otherwise unataka tu ubishi pole kwa hilo mkuu

Nilitegemea ukatae kwa point kwamba siyo nadharia ...!
 
Back
Top Bottom