Utabiri wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wangu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Dec 25, 2010.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Natabiri anguko kubwa la CDM kabla ya mwaka 2013. Na pia natabiri CCM kupata ushindi mkubwa zaidi ktk uchaguzi wa 2015. Anaebisha na abishe, Novemba 2015 tutasutana.Tuombe uzima
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sheik Yahaya at work......

  ............Merry Christmas and Happy New Year.
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  They predicted so after 2005 election nothing happened so keep on dreaming no one will awake you.
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  dreaming is healthy for the 12 noon nap! keep on dreaming buddy
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hii ni bange la kwenye jua kali!
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  utabiri huu unatokana na powers zipi..... horoscope.... astrology..... au wewe ni sangoma? do you know the end and consequences of people who tends to be seeing tomorrow? mkuu chunga sana bana
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  nani atagombea? Rizi?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kaumza huna hoja.
  Wewe umetoka kusema kule (SOMA-HAPA) kuwa ukitaka kugombana na WANAJF basi uanzishe hoja za CDM...
  Sasa umeamua kwa makusudi kuleta hoja hii ili kuwapima watu uvumilivu!...this is childish!
  Usilete mambo ya dimbadimba majukwaani...ukijibiwa hapa utaanza ooohh...sijui... trinity au paka-gani:mod:
  Mupo wengi wa aina yako humu..mnaleta hoja za kipumbavu, then mnalalamika mkijibiwa!
  To hell with you...tuko makini comrade!
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani ni utabiri wake tuu.
  Mwacheni.
   
 10. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Pakajimmy!!! Punguza jazba mkuu. Ni sehemu ya utafiti wangu. Ila nakusifu, ni mfuatiliaji mzuri na upo makini. Tatizo lako JAZBA
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  +
  Mkuu,
  Kwenye majukwaa haya hatuishi kwa utabiri..
  Hapa ni hoja za kiuchunguzi, utafiti, na ushuhuda...si blah blah zisizokuwa na empirical proof.
  Achana kabisa na watu wa jamii hiyo hapo juu!
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Unaonekana umeshindilia sana Pilau mpaka umevimbiwa. Binadam akishiba sana kuliko kawaida na akapitiwa na usingizi huwa anaota ndoto za ajabu sana kama zako. Acha ulafi.
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  Kweli huyu ndiye aliyeanzisha thread ya kuiponda JF sasa kaanzisha thread hii makusudi kuona response yake, inaoneka anataka ligi huyu tupo wengine tumeshavaa bukta kabisa kwa kuanzia namnyambaf kwa kuleta hoja za kizushi.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ingawa nakubaliana na ww kuwa CCM itashinda 2015 lakini sikubaliani na utabiri wako. Huwezi ukafanya utabiri kwenye jambo lililo dhahiri kama hili!!!
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  umefikisha posts ngapi hapa jamvini?
   
Loading...