Utabiri wangu: Makonda kurudishwa ukuu wa mkoa

Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kwà teuzi 61 zilizofanyika jana ninakubaliana na wewe 100% . Tena atakuwa mkuu wa Mkoa wa Dar au Dodoma. Huyu ni kidata mwingine.
 
Kumbuka Makonda alimtabiria mama kuwa makamu wa Rais na ikatokea na alishawai kusema yeye kama kijana anampenda sana mama....Hapa mimi naona mama atalipa fadhila tu.,makonda atapewa kazi.
Yaani kusema anampenda Sana bi mkubwa Basi anaula uteuzi? Basi na Mimi nampenda Sana mama
 
Huyu mama ssipoangalia atafeli vibaya sana ( massive failure) humu mtandaoni ndio kuna vetting ya ukweli mtupu , naona teuzi zote mbili kafeli amefanya kubadilisha tu na sio kutoa wabaya , kitu ambacho ni kosa , sasa twende kwenye wakuu wa mikoa na wilaya awarudishe na kuwabadilisha kazi ambao wamevunja sheria , katiba , wamekiuka haki za binadamu , utawala bora , demokrasia , afanye aonavyo time will tell , sisi kumuomba mwenyezi Mungu kwa ajili ya vifutu hatuchoki tutaomba tena na tena .
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Makonda aache mdomo wake.
sana.
Kila jamaa akionge inakuwa shida sana.
Makonda ametesa watu sana.
 
Kwà teuzi 61 zilizofanyika jana ninakubaliana na wewe 100% . Tena atakuwa mkuu wa Mkoa wa Dar au Dodoma. Huyu ni kidata mwingine.
Yaani unataka kumlinganisha Makonda ni kidata?
Nani katika serikali hii anamuhitaji Makonda?

Sioni nafasi yoyote kwa Makonda kurejea kwenye ukuu wa mkoa, ana rekodi chafu mnoo wakati akiwa mkuu wa mkoa wa Dar.
 
Hivi mnakumbuka lile skendo la Makonda kukwepa kodi akitumia mwamvuli wa kuwaletea walimu samani za kuweka kwenye ofisi zao?

Hivi mnajua aliyeonekana kuwa kikwazo dhidi ya Makonda alikuwa ni Philip Mpango?

Hivi unajua ni Philip Mpango ndiye aliyemuonya mara mbili aache mchezo wa kutaka kukwepa kulipa kodi?
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Makonda huyu huyu alimpiga kofi mzee wetu? Huoni kama mama atakuwa kaamua kuchagua upande, tafakari ilo!!?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom