Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,043
Kamchukue awe mkuu wako wa mkoa nyumbani kwako kama unampenda sanaaMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app