Umenikumbusha enzi ya mzee Mwinyi,awamu ya pili. Ndiko tunako rudi.Huyu mama ssipoangalia atafeli vibaya sana ( massive failure) humu mtandaoni ndio kuna vetting ya ukweli mtupu , naona teuzi zote mbili kafeli amefanya kubadilisha tu na sio kutoa wabaya , kitu ambacho ni kosa , sasa twende kwenye wakuu wa mikoa na wilaya awarudishe na kuwabadilisha kazi ambao wamevunja sheria , katiba , wamekiuka haki za binadamu , utawala bora , demokrasia , afanye aonavyo time will tell , sisi kumuomba mwenyezi Mungu kwa ajili ya vifutu hatuchoki tutaomba tena na tena .
Wewe bwana wewe. Ongeza sauti ati chakula???Huyo jamaa acha tu atifuliwe
Kuhusu vyeti???Makonda hafai kuwa kiongozi hana jipya...zaidi ya drama zake za kwenye social media. Ni mweupe mno..kichwani.
Sishangai maana kuna tetesi ziliwahi vuma huko nyuma kuwa yeye na ...... wana ....Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Na siku hizi Mungu harembiTutamshitaki kwa Mungu!
Mbona mnahabgaika sana na Makonda? Amewahi kuwaambia kuwa hana uwezo wa kuishi bipa ya kuwa mkuu wa mkoa?Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
utabiri wako ni mzuri, ila kila zama na kitabu chake, usishangae akapandishwa pia mahakamani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, watu kuuwawa na kukutwa kwenye viroba au hata kupigwa risasi LISSUMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kwahiyo mama ni rais wa katiba?Alimpigia debe mama wakati wa bunge la katiba mpya,asubiri tuu.
Kama anakula raha kuliko watu wote Duniani, huo ukuu wa mkoa ni kujidharirisha tu. Aendelee kula raha tu..Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi