Utabiri wa Nyota Siku ya 29/10/2025. {Kila kitu kiko wazi}

Utabiri wa Nyota Siku ya 29/10/2025. {Kila kitu kiko wazi}

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,785
Reaction score
1,848
Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!!

Nimetazama nyota zitakavyokuwa tarehe husika 29/10/2025 kuhusiana na suala la Uchaguzi pamoja na harufu ya maandamano na vurugu iliyopamba moto, na nimeona mambo makuu yafuatayo:
  1. Mwezi utapita juu ya Pluto, nyuma ya Capricorn. (conjucton) Mwezi unabeba maana ya upole, maumivu ya ndani, Hisia kali na unyonge katika muktadha wa siku hiyo. Maana maana ya pluto kinyota mara nyingine huwa ni vikwazo, taabu, mapito magumu kuelekea mafanikio au kuzaliwa upya. Hii inaonyesha kwamba siku hiyo itatawaliwa hisia kali, kwa watu wengi watakuwa na hofu moyoni kwa sababu ya mwezi kuwa na pluto.
  2. Uranus (sayari ya mapinduzi itakuwa pweke nyumbani kwa nyota za Ng'ombe!) uwepo wa sayari hiyo hapo unaonyesha majaribio ya kuangusha serikali yanaweza yasizae matunda.


Moon 🌙 conjunct Pluto in Capricorn ♑️ with a grand earth 🌎 tribe to Uranus in Taurus ♉️ and Ma.jpg
 
Kitajulikana siku hiyo hiyo maana hata jua/mwezi huweza kufunikwa na moshi wa kuni au majani yaliyo chomwa na mwanadamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom