Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

Kwa nini unataka tufikirie rais mwanamke badala ya rais mwadilifu, mwenye busara na mwenye uchungu na nchi hii? Mtazamo wa namna hii ni mfilisi na watu wenye ubaguzi. Kesho utakuja na wazo la rais wa dini, kabila, mkoa, na rangi fulani.

Wewe ni hatari kuliko UKIMWI
 
nilidhani ni utabiri wa Le Mutuz, kumbe watabiri bado wanaishi eeeh? CCM vichekesho vitupu
 
Ni Anna Makinda wa CCM ndiye anayeweza, safari hii kama zitto anaendelea kusumbua atamto nje ya nchi yaani kenya
 
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.

Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo

Asilimia 90 ya watanzania hawaamini katika sayansi! Ndo hivyo huyu tatanyengo ni mmoja wao!
 
Last edited by a moderator:
Wathubutu kuweka Mgombea wa kike waone majibu yao! Huu mfumo dume walioulea CCM kwa miaka mingi kutokuamini kwenye uwezo wa wanawake utawatokea puani! Kama Marekani walisema ni bora Rais Mweusi mwanaume kuliko rais mweupe mwanamke, sembuse hapa tanzania, ngoja tusubiri tuone!
 
Hata kama taifa halina dini ila watu wake tuna dini, na atuwezi kuruhusu uchawi kuongoza taifa letu, au waganga
 
Huu ni ujanja wa CCM,wanajipanga ili hata kama watachakachua kura Watanzania wasishtuke.
 
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.

Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo
Na Mwisho wa Dunia Ulikuwa ni December 21st 2012.
 
tatanyengo lete habari iliyokamilika siyo vipande vipande mkuu. Huyo mtabiri ni nani? Kwani yule mzee wa Magomeni karibu na BP (zamani) amefufuka?

Haya mambo ya utabiri (uchawi) yataliangamiza taifa letu tukufu!
yule mtabiri wa vifo vya wengine aka-shindwa kutabiri chake?.Ndo alimpa ulinzi usio-onekana kwa macho zaifu.....lol.
 
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.

Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo

atakuwa katumwa na Sophia Simba huyu mpiga ramli
 
Hivi hawa watu kazi yao ni kuagua. Vipi utabiri wa yule marehemu mtabiri wa magomeni .
 
huyo mtabiri anatakiwa akapimwe akili naona ameshaanza kurukwa akili asije akavua nguo mapema kabla 2015
 
​
ngoyai.jpg
​
Lets see,Mwenyezi mungu atupe uzima​
 
Back
Top Bottom