William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Great Thinkers wanapoingia kwenye kujadili utabiri wa waganga wa kienyeji, saad indeeed!!
le mutuz
le mutuz
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.
Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo
Ni utabiri wa Jambo leoMtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.
Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo
Ujajua tu, ni yule mke wa mheshimiwa
Kama nakumbuka vizuri ni kama hata Sheikh Yaya nae alitabiri hivi mwaka 2005 na then tukampata Kikwete, sijui mwendo ndio huo?