Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.

Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo

utumbo wa nguruwe hautengenezi supu
 
raisi ni raisi tu awe wa kike au kiume ila hawezi kuja kwa stail ya utabiri ni uppuuzi
 
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.

Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo

Dah! Mwanagu huyo lazima awe mama Salma Dr. Kikwete!

CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Huyo mwanamke atakuwa mgombea tu kupitia ccm, lakini Watanzania watamchagua Dr.W.P.Slaa kuwa rais wa nchi yao
 
Tehe tehe tehe. Bi kiroboto mwingine anakuja. Yaani Tanzania kuna mambo! Ngoja tuone. Ila kusema ukweli bado wakati haujafika wa kuwa na rais mwanamke. Huyo mwanamke aende akagombee urais wa Marekani aone kama atashinda.
Itakuwa staili design ya iliyomuengua Sitta kwenye Uspika? Ambapo king maker Rostam alitoa amri bi Kiroboto ndiyo zamu yake kuwa spika, mzee mzima Sitta akajikuta anasalimu amri kuutema uspika kwa kuwa alishindwà kujigeuzà kuwa mwanamkè kama ambavyo magamba waliweka kama sharti ili uukwae uspika!
 
Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.

Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo

Mme wake atakuwa na raha! Yaani atakuwa anumu-ex ex rais usiku. Yaani rais ana-exiwa!?? nice to imagine that.
 
Mwenye au anayeweza kupata nakala ya magazeti yaliyoandika hii atuwekee hapa
 
Daah....huu utabiri naukumbuka sana ulitolewa wakati wa Jk nakumbuka watu walibishana sana. mambo ya elimu nyota hayo
 
Daah....huu utabiri naukumbuka sana ulitolewa wakati wa Jk nakumbuka watu walibishana sana. mambo ya elimu nyota hayo
Ilitakiwa kuwa hivyo, ila mizengwe ikaingizwa lakini yametimia
 
Back
Top Bottom