Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Mbappe atapata wapi mpira. Timu nzima imeminywa. Naona kila timu ikicheza na City ni nusu uwanja na msako.
Nachomkubali pep ni hapo tuu....kama anasaka goli unaona kabisa mtu anapigwa pin nusu yake.

It doesnt matter how talented a player is, no player in the world can beat a well organized press. Awe chama neymar mbape ronaldo de lima konde boy, mkimvamia kama wanavyovamia man city 97/100 mtampora mpira.
 
Natamani Chelsea wakutane na Man city katika fainali ya UCL. Timu zingine hizo hazina uwezo ingawa wana wachezaji wazuri ambao ni very talented.
 
Safari hii Chelsea atawaacha midomo wazi hamta amini hapo yoyote atakae penya final awe psg awe Man City wote hao wategemee balaa zito kutoka kwa Chelsea hawa watu wanabezwa sana lakini ni watu hatari sana hawa basi tu vile hawana mashabiki wengi ila yale ya 2012 yatajiridia Tena.

Nakumbuka
16 bora Chelsea vs Napoli

Robo final Chelsea vs Benfica

Nusu final Chelsea vs Barcelona

Final Chelsea vs Buryan Munich

Chelsea bingwa 2012!!

Zama zinajirudia 2020.
 
Mkuu unatakiwa utulize akili kuielewa man city na PSG

Kimchezo walikuwa sawa ila kimbinu walizidiwa kidogo PSG

Na PSG walijua wamesha teka mchezo sijui city nyumbn itakuwaje lakini PSG anawakati mgumu sana kwa city
 
mkuu uliona mbali sana maana nimesikia kwenye michezo asubuhi kwamba huyo Mbape hakupiga hata shuti moja lililolenga goli,binafsi njapo ni shabiki wa United nimefurahi sana jana City kushinda natamani zijirudie fainali kama za miaka ya juzikati UEFA na EUROPA kuingia waingeleza tupu.binafsi inapokuja swala la michuano ya ulaya huwa nashabikia timu za England tu.
 
Mbappe atapata wapi mpira. Timu nzima imeminywa. Naona kila timu ikicheza na City ni nusu uwanja na msako.
Kuna watu hawaipendi City tu kwa roho zao mbaya,eti city ilizidiwa kipindi chote ila dakika 35 za mwisho, ukiuliza kama Man city ilizidiwa kipindi chote hicho mbona Psg ilishindwa kufunga magori hata matatu?watu wanaanza kusema magori yenyewe hayana radha utafikiri kile kilikuwa chakula 😁😁😁 Gladiola hana historia ya kufungwa hovyo, na timu yoyote za Uefa champions pale nyumbani kwake.
 
Mashabiki wa man u,arsenal na baadhi ya Liverpool wapo against chelsea
 
Chelsea akienda final akakutana na Man City hiyo game ndio itaisha first half, City bingwa.
 
Dunian sijaona baki wa kumkaba mbape.
ila mbape mpira anapo utoa ndo shidaa. Gardiola aachane na false 9 KDB acheze kati akiwa gundogan na Rodri kazi paris anakufa in and out. ila sasa Gardiola na kichaa chake cha false 9 atatuponzaa
mkuu mchezaji msumbufu pale PSG ni Neymar na Di Maria huyo mbape anategemea zaidi kasi yake ikitokea amekutana na timu inayokaa nyuma shughuli hana,pia hakuna mchezaji duniani ambae hakabiki kabla ya kufichwa na Walker hapo jana Mbape alishawahi kufichwa na Bissaka hakufanikiwa kukatiza mbele yake hata na mpira mmoja.
 
Guardiola huws anajua sana kutafuta mfumo wa kuwaficha hao mastaa wa timu pinzani, ukitaka kumfunga Guardiola sharti ucheze kitimu na uwe na wachezaji zaidi ya watatu wa kuamua matokeo kwwnye timu yako, sio kumtegemea mtu mmoja.
 
Ukiangaia city anavopress unaweza kudhani unacheza PS ,..

Kama PSG wasipocheza kwa kupress kutegemea counter za mbape na neymer ,nasema hivi hatakuwa na uwezo wa kutoka na goli pale etihad ...

PSG anahitaji goli 2-0 ili afuzu ,unafikili city hatascore goli lolote ? ,kumbuka city akiscore ndio mlima unazid kuwa mrefu wa PSG kufuzu ..



Chelsea Ana 1-1 lakin anahakikiwa kufuzu kuliko city mwenye aggregate ya 2-1 ugenin ,hapa ndio utagundua kuwa watu wanajifanya hawaoni



Kwa hizo aggregate zinaonesha kabisa Chelsea anauwezekano mkubwa wa kutolewa kuliko city ,au nyie Mpira mnaangaliaje
 
ulikuwa unaangalia nyuma ya Tv psg alipiga mpira mwingi
hata mimi nimejiuliza huyu katazama mpira keenye channel gani mpaka anasema kawaona PSG wameupiga mwingi,kiufupi Pochettino anamjua vizuri Pep ndomaana aliamua kukabia 4-4-2 ili asiruhusu pasi za City kupenya kirahisi ndomaana mipira mingi ya City haikuwa na madhara japo walimiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo kabla ya dk 45 za kipindi cha pili.
 
Kutolewa kivipi na nina wa kumtoa Chelsea mkuu? Uwezo wa Madrid ni mdogo sana ukilinganisha na Timu yetu pendwa kwa sasa The Blues wa London.
 
Kutolewa kivipi na nina wa kumtoa Chelsea mkuu? Uwezo wa Madrid ni mdogo sana ukilinganisha na Timu yetu pendwa kwa sasa The Blues wa London.
Kumbe wewe ni shabiki wa Chelsea, Mimi naangalia uwezo uwanjani ,na sheria za uefa kwenye knock out stage ,Madrid akikuweka goli moja ,jua kabisa mtakuw na pressure kubwa
 
Kutolewa kivipi na nina wa kumtoa Chelsea mkuu? Uwezo wa Madrid ni mdogo sana ukilinganisha na Timu yetu pendwa kwa sasa The Blues wa London.
kwangu mimi kwa ubora nawapa nafasi Man City ila naona kitakachoenda kumnyima kombe mbele ya Chelsea ni kuingia kwenye mchezo wakiwa na presha kutopoteza fainali,labda itokee Chelsea awe hajamaliza ndani ya top 4 ategemee kubeba kombe ili apate kufuzu msimu ujao,lkn kama Chelsea atakuwa tayari yupo top 4 naona presha itakuwa zaidi kwa City na atafungwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…