UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

Labda amteue kuwa mbunge. Kwa kupitishwa kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini Lema anapita saa 2 asubuhi! You can take this to the bank!
 
Hamna cha maana hapo Ndugu Gambo
 
Kwa Taarifa yako Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu. Sasa jiulize Tundu Lissu atamchagua Mrisho Gambo kuwa Waziri????!
 
Kwa Taarifa yako Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu. Sasa jiulize Tundu Lissu atamchagua Mrisho Gambo kuwa Waziri????!

Daah mzee hichi kitu ni kigumu sana kutoa iwe jua iwe mvua Magufuli atashinda Urais
 
Viti Maalum
 

NAUNGA MKONO HOJA YAKO, MIMI NI MKAZI WA ARUSHA NIPO NJEE KIKAZI, KUNA GENGE LA VIJANA WAKISOMALI HAPO ARUSHA, TUMEKUWA PAMOJA, KWA MUDA WA MWAKA SASA WALIKUWA WAKINIAMBIA MRISHO NDIYE MBUNGE WA ARUSHA AJAYE, NA WALIANZA KUMPIGIA DEBE BILA YEYE KUHUSIKA AU KUJUA, NIKAWAULIZA WHY?, WAKANIAMBIA BAADA YA KINANA HAWAJAONA KIONGOZI ANAYEIPENDA ARUSHA KAMA ARUSHA NA SIO MASLAHI YAKE AU YA CHAMA.

NIMEUONA UKWELI HUO MARA KADHA NIKIWA LIKIZO. GAMBO ANASTAHILI ARUSHA NA ARUSHA INASTAHILI KUMPATA GAMBO
 

Kwa ubunge wa wapi? Labda atoe rushwa tena.
 
Serikali inayokuja kuundwa mara baada ya 28 oct ni serikali ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alie na macho haambiwi tazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…