UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

haaaah mkuu kura 333 kwa 68 sasa unamkataje aisee? Any way tuwaachie maamuzi kamati kuu!!

uongozi ni kuacha alama
Haaa!
Inamaana alichokisema mwenyekiti,polepole na Bashiru hujakielewa mkuu? Na leo wameongea tena!

JESUS IS LORD
 
Haaa!
Inamaana alichokisema mwenyekiti,polepole na Bashiru hujakielewa mkuu? Na leo wameongea tena!

JESUS IS LORD
Muda ni kitu kizur sana, tusubiri tutaona matokea, ila bora yake yeye ameshinda kura za maoni tena kwa kishindo kikubwa!!!

Wenzake wengi wameangua pua kwenye kura za maoni.
 
Muongo mkubwa wewe!!! Udini udini udini, kawagawa wapi we muongo???

Wewe unaishi kwa shemeji na mkate wa kila siku uanpata kupitia mali za wananchi zilizoporwa na kuitwa za CCM.

MAGUFULI kwa kinywa chake alisema " amemuondoa Gambo kutokana na kutoelewana na wenzake , yaani mkurugenzi na DC wake, na akasema alitaka kuwapa WAISLAMU uwanja wa wazi pale msikiti wa bondeni pamoja/akijua kwamba kuanzia Mwinyi, mkapa na kikwete walikataa wakasema lile ni eneo la wazi! WEWE huna akili, ni mpumbavu maana unabishana na facts, ingia kwenye nyuzi za humu jf usome sababu za JPM kumla kichwa Gambo, mtu mdini hawezi pewa lile jimbo la Arusha, never
 
WEWE huna akili, ni mpumbavu
Wewe ndo Lema??

Mjinga kabisa wewe, hao unaosema amewagawa ndio wamempa Kura za awali, Bado mafuriko yanakuja mwana kujinyea wewe!!!

Mtu mjinga akikosa kitu cha kukosoa, hulazimisha ujinga wake uwe sehemu ya werevu!! Kima wewe!!

Usiwekeze kwenye ujinga na majungu yasisiosaidia chochote!!! Koma wewe!!
 
Hamshindi Lema huyu!
 
Si mpaka ashinde sasa
 
Hivi mirembe huna file kweli wewe?
Huyu ni kivuruge, akienda mahali lazima mvurugano uwepo!
Ana pepo la utenganisho badala ya malaika wa kuunganisha.
Chunguzeni historia yake
 
FACT.
 
Rilaxx eroo shida nini, mmeutaka huu muziki wenyewe, kazi kwenu kuucheza, yaani kama namuona Gambo siku ya kutangaza mshindi alivyopauka ile midomo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…