Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

Mimi sina shaka hata kidogo na utawala huu. Ninachokijua mimi ni kwamba, saa ikifika mambo yote yatakaa vizuri kabisa.
 
Mi naona tatizo alilonalo ni kutosikiliza ushaur wa watu.na kutoielewa jamii inataka nini, tena kwa wakati gani na mahali gani.pia bila kusahau kauli za kukatisha tamaa.mambo hayo yakiendelea ipo siku yayamponza
Kwani hapo Magogoni hana washauri au ndio kila mtu unataka amshauri....??
 
Natabiri rais wangu John Pombe Magufuli atapata mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wake.

Mh Magufuli katika uongozi wake umekuwa wakukimbia tatizo badala ya kulitatua.

1. Hajajenga mazingira mazuri kibiashara: kodi TRA- imekuwa sio rafiki.
biashara zime dorora.wafanya biashara wakiongea/

mh Magufuli:"mlikuwa wapiga dili"wafanya biashara wamekaa kimyaa (bomu linachemka)

2. Walimu: Hakuna uamisho, hakuna niongeza, hakuna kupanda daraja, walimu waliomaliza hakuna ajira.

Mh magufuli: "subirini tumalizane na wafanya kazi hewa"walimu wamekaa kimyaa (bomu linachemka)

3. Wanainchi wanalalamika njaa

Magufuli:"serekali haina shamba"

wanainchi wamekaa kimya ( bomu linachemka)

4. Ajira kwa ujumla. vijana wakapata moyo na milion 50 kila kijiji. milion 50 hakuna vijana wa watoto masikini wametulia mtaani kuzurura nakushabikia mpira na ishu ya madawa ya kulevya.

Magufuli; " vijana jiajirini hapa kazi tu"

Vijana wamekaa kimya(bomu linachemka)

5. Watumishi wa umma: Hofu imewatanda wanafanya kazi kwa hofu bila kuwa na utaratibu maalumu, matamko yanafanya watumishi kushindwa kufanya kazi kwa utaratibu.

Magufuli: " narudisha nidhamu"

Wamekaa kimyaa sio kwamba wanafurahia ni shida tu" bomu linachemka"

6. Bank na wateja wao: ongezeko la vat '

Wamekaa kimyaa: "bomu linachemka"

7. Timua timua ya wanafunzi chuo. TCU waliwapokea leo hawana vigezo,
mikopo shida.

Wamekaa kimya: "bomu linachemka"

8. Machinga

Magufuli: " mtu asiwaguse"

mikoa mingi wamepewa taarifa hawatakiwi barabarani bila kupangiwa sehemu rafiki, mfano mzuri yaliotokea Mwanza.

Machinga wako kimyaa " bomu linachemka"

Sijagusia:

Polisi.
Wanasiasa( wapinzani)
Utalii.
Viwanda.
NSSF
Wakulima
Makusanyo ya mapato.
Bunge
Makundi ndani ya chama chako.

Tahadhari mh Magufuli kukimbia tazizo sio njia ya kutatua tatizo. unatengeneza mabomu mengi sana.

Wanakuvumilia na siku zote uvumiliza una mwisho wake

Usipochukua hatua natabiri mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wako.
Huo si u tajiri bali tahadhari trump anasema alert
 
Mimi sina shaka hata kidogo na utawala huu. Ninachokijua mimi ni kwamba, saa ikifika mambo yote yatakaa vizuri kabisa.


SAA(muda) ni hela.

Muda unamipaka yake.

Huo muda ukifika lini? toka 1961 ni longo longo tu. Tunataka viongozi wanaojali muda anaetembea kwenye malengo kulingana na muda.
 
[emoji16] Mleta uzi unaongea ukweli kama utani vile, lakini tunapaswa kua na subra maana kulikua na matundu mengi sana ngoja wamalizie kuyaziba wenyewe tutafurahi[emoji12]
Jamaa anaziba tundu moja then anatoboa kumi, haya ni madhara ya kutokujiandaa kuongoza, udereva sio kuzungusha usteling wa gari[emoji2] [emoji3]
 
Tatizo mliamimishwa na wapinzani kuwa siasa ndo chakula nchi nzima ikageuka siasa watu hawalimi tena kwa hiyo matatizo tuliyategemea kwa SBB ya ujinga wenu.

Watu wakilima na kufanya kazi kama magufuli anqvyotaka bei mwakani zitapungua sana. Bei za vitu hazipunguzwi kwa maneno kama ambavyo mnataka kuwaaminisha watuanyumbu nyie

Sasa utafanya kazi bila kuwa na mtaji? Utalima bila pembejeo?

Utafanya kazi huku makato ya mashahara yanaongezeka, utafanya kazi ukiwa na hofu kesho utafukuzwa kazi bila sababu?

Tumia akili yako kufikiria, usikariri . Nchi inapoenda sio. Kama ulivyo kuwa huna dira na kiongozi wako pia ni hivyo hivyo.
 
Bomu lina chemka na wakuu wa mikoa na mawaziri wanazidi kuchochea moto soon watajua ulichosema
 
kutambaa wanashindwa kutukamata " kesi kila siku".


mahakama(kisutu) wanafunzi wafikishwa mahakamani kisutu.

jafari dereva boda boda alikuwa bar kalewa katoa ya.moyoni kesho mkuu wa mkoa kaita waandishi wa habari kutangaza jafari kalewa kamkashifu kesho kutwa kapandishw kisutu.

chenge ana tweet inchi inahitaji maadili ridhione ana like lugumi anashare facebook



nahofu siku tukikimbia huo mradi wa wachina wa nuclear tanzania i think nuclear ndo itatumika kuwa tawanya
This is no laughing matter kwa kweli. Wajiangalie
 
Namba 2 sasa hivi wanalazimishwa kuchangia mwenge
 
Mkuu angalia pamoja na ukweli wote, kuna kitu wanakiita uchochezi.

Ni msamiati mpya wa awamu hii UKWELI === UCHOCHEZI
Tulipotoka kwenye ugaidi ndiyo sasa tumeingia kwenye uchochezi. Kila kitu sasa hivi ni uchochezi. Fikiria eti hata mtu kuota ndoto sasa hivi ni uchochezi!
 
Selikar yake imejaa wazinzi wakinyimwa key wanaweka watu ndani huku wakitumia jina la mungu



yani ccm hamna kitu wanaweza adi kutongoza wanashindwa.


yani adi wema mama huruma(si mchoyo) ameshindwa kumtongoza akaishia kuchafuliwa.
 
Back
Top Bottom