chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,865
- Thread starter
- #121
Nostradamus.
Sent from my Kimulimuli
Les Propheties
Nostradamus.
Sent from my Kimulimuli
eti Leo amesajiri masha, kitila, mwigamba, msando na katambi, kwa hiyo CCM imefufuka. huyu jamaa kichwa yake haitoshi, nahisi alitimuliwa seminari kwa kushindwa masomoNatabiri rais wangu John Pombe Magufuli atapata mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wake.
Mh Magufuli katika uongozi wake umekuwa wakukimbia tatizo badala ya kulitatua.
1. Hajajenga mazingira mazuri kibiashara: kodi TRA- imekuwa sio rafiki.
biashara zime dorora.wafanya biashara wakiongea/
mh Magufuli:"mlikuwa wapiga dili"wafanya biashara wamekaa kimyaa (bomu linachemka)
2. Walimu: Hakuna uamisho, hakuna niongeza, hakuna kupanda daraja, walimu waliomaliza hakuna ajira.
Mh magufuli: "subirini tumalizane na wafanya kazi hewa"walimu wamekaa kimyaa (bomu linachemka)
3. Wanainchi wanalalamika njaa
Magufuli:"serekali haina shamba"
wanainchi wamekaa kimya ( bomu linachemka)
4. Ajira kwa ujumla. vijana wakapata moyo na milion 50 kila kijiji. milion 50 hakuna vijana wa watoto masikini wametulia mtaani kuzurura nakushabikia mpira na ishu ya madawa ya kulevya.
Magufuli; " vijana jiajirini hapa kazi tu"
Vijana wamekaa kimya(bomu linachemka)
5. Watumishi wa umma: Hofu imewatanda wanafanya kazi kwa hofu bila kuwa na utaratibu maalumu, matamko yanafanya watumishi kushindwa kufanya kazi kwa utaratibu.
Magufuli: " narudisha nidhamu"
Wamekaa kimyaa sio kwamba wanafurahia ni shida tu" bomu linachemka"
6. Bank na wateja wao: ongezeko la vat '
Wamekaa kimyaa: "bomu linachemka"
7. Timua timua ya wanafunzi chuo. TCU waliwapokea leo hawana vigezo,
mikopo shida.
Wamekaa kimya: "bomu linachemka"
8. Machinga
Magufuli: " mtu asiwaguse"
mikoa mingi wamepewa taarifa hawatakiwi barabarani bila kupangiwa sehemu rafiki, mfano mzuri yaliotokea Mwanza.
Machinga wako kimyaa " bomu linachemka"
Sijagusia:
Polisi.
Wanasiasa( wapinzani)
Utalii.
Viwanda.
NSSF
Wakulima
Makusanyo ya mapato.
Bunge
Makundi ndani ya chama chako.
Tahadhari mh Magufuli kukimbia tazizo sio njia ya kutatua tatizo. unatengeneza mabomu mengi sana.
Wanakuvumilia na siku zote uvumiliza una mwisho wake
Usipochukua hatua natabiri mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wako.
Nchi hii magufuli haiwezi kabakiza ukali tu
eti Leo amesajiri masha, kitila, mwigamba, msando na katambi, kwa hiyo CCM imefufuka. huyu jamaa kichwa yake haitoshi, nahisi alitimuliwa seminari kwa kushindwa masomo
Ni kweli hapa imebakia uvumilivu tuu ila hatuna muda litalipuka just cul nawapa miezi 7 mbele ya tuendako
2020 ukawa ndo watakao shika nchi Kama mnabisha mtaona je Jana NEC kuna vichwa Kama vitano ambvyo ni muhmu hila vimekaa pembeni vyenywewe havikuudhuria mkutano why pili bdo ssm Ina wanafiki hawamwambii ukweli Kama mambo yanaenda kombo
Kweni wkt wa tawala zilizopita hayo mabomu hayakuwepo?
Mrudisheni VASCO DA GAMA wenuUsifananishe GRUNET na HYDROGEN BOMB
underperforming
Unexpectedly underperforming
Natabiri rais wangu John Pombe Magufuli atapata mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wake.
Mh Magufuli katika uongozi wake umekuwa wakukimbia tatizo badala ya kulitatua.
1. Hajajenga mazingira mazuri kibiashara: kodi TRA- imekuwa sio rafiki.
biashara zime dorora.wafanya biashara wakiongea/
mh Magufuli:"mlikuwa wapiga dili"wafanya biashara wamekaa kimyaa (bomu linachemka)
2. Walimu: Hakuna uamisho, hakuna niongeza, hakuna kupanda daraja, walimu waliomaliza hakuna ajira.
Mh magufuli: "subirini tumalizane na wafanya kazi hewa"walimu wamekaa kimyaa (bomu linachemka)
3. Wanainchi wanalalamika njaa
Magufuli:"serekali haina shamba"
wanainchi wamekaa kimya ( bomu linachemka)
4. Ajira kwa ujumla. vijana wakapata moyo na milion 50 kila kijiji. milion 50 hakuna vijana wa watoto masikini wametulia mtaani kuzurura nakushabikia mpira na ishu ya madawa ya kulevya.
Magufuli; " vijana jiajirini hapa kazi tu"
Vijana wamekaa kimya(bomu linachemka)
5. Watumishi wa umma: Hofu imewatanda wanafanya kazi kwa hofu bila kuwa na utaratibu maalumu, matamko yanafanya watumishi kushindwa kufanya kazi kwa utaratibu.
Magufuli: " narudisha nidhamu"
Wamekaa kimyaa sio kwamba wanafurahia ni shida tu" bomu linachemka"
6. Bank na wateja wao: ongezeko la vat '
Wamekaa kimyaa: "bomu linachemka"
7. Timua timua ya wanafunzi chuo. TCU waliwapokea leo hawana vigezo,
mikopo shida.
Wamekaa kimya: "bomu linachemka"
8. Machinga
Magufuli: " mtu asiwaguse"
mikoa mingi wamepewa taarifa hawatakiwi barabarani bila kupangiwa sehemu rafiki, mfano mzuri yaliotokea Mwanza.
Machinga wako kimyaa " bomu linachemka"
Sijagusia:
Polisi.
Wanasiasa( wapinzani)
Utalii.
Viwanda.
NSSF
Wakulima
Makusanyo ya mapato.
Bunge
Makundi ndani ya chama chako.
Tahadhari mh Magufuli kukimbia tazizo sio njia ya kutatua tatizo. unatengeneza mabomu mengi sana.
Wanakuvumilia na siku zote uvumiliza una mwisho wake
Usipochukua hatua natabiri mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wako.
Nadhani wewe ni shabiki wa siasis HAKUNA hata kimoja NILICHOELEWA samaha fanya story iwe fupi na ILETE MAAANA.
Ukiona umetoka mtupu jua sio level yako. KBytes 250 haiwez jaza nafasi ya GBytes 20
TUPAMBANE NA HALI ZETU MZEENatabiri rais wangu John Pombe Magufuli atapata mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wake.