Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

Mkuu, umetoa hoja nzuri na kwa staili ya kipekee. Lakn ukiwa Mtanzania lazima ujue pia tabia za wapiga kura wetu. CCM haishindi chaguzi kwa sababu ya kutekeleza sera. In fact, haijawahi kuteleza sera yoyote kwa ufanisi mkubwa ndiyo maana hata sera za kuondoa ujinga, umaskini na maradhi zilitamkwa tangu miaka ya 60, lakn mpaka leo bado tunapambana na changamoto hizo hizo. Kwa hiyo ukianza kuwatabiria kwamba watashindwa kwa sababu ya kutokutekeleza sera fulani, you will be in for a big shock.....
 
Tulipotoka kwenye ugaidi ndiyo sasa tumeingia kwenye uchochezi. Kila kitu sasa hivi ni uchochezi. Fikiria eti hata mtu kuota ndoto sasa hivi ni uchochezi!
Don't be idiot. Uchochezi gani amefanya hapo??? Mpinge kwa hoja tu.
 
Msijali tumenunua bombadier na zingine zinakuja
Siku si nyingi nimependa Bombadier kutoka mahali fulani kwenda Dar. Ilikuwa na abiria yapata 10. Tuanze kuwaambia mapema kwa sababu huwa wanakuja kuelewa mambo baadaye sana.... wasipokaa vizuri fastjet atawa-knock down muda si mrefu. ATC wanafanya biashara kwa staili ya mwaka 1940....
 
Natabiri rais wangu John Pombe Magufuli atapata mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wake.

Mh Magufuli katika uongozi wake umekuwa wakukimbia tatizo badala ya kulitatua.

1. Hajajenga mazingira mazuri kibiashara: kodi TRA- imekuwa sio rafiki.
biashara zime dorora.wafanya biashara wakiongea/

mh Magufuli:"mlikuwa wapiga dili"wafanya biashara wamekaa kimyaa (bomu linachemka)

2. Walimu: Hakuna uamisho, hakuna niongeza, hakuna kupanda daraja, walimu waliomaliza hakuna ajira.

Mh magufuli: "subirini tumalizane na wafanya kazi hewa"walimu wamekaa kimyaa (bomu linachemka)

3. Wanainchi wanalalamika njaa

Magufuli:"serekali haina shamba"

wanainchi wamekaa kimya ( bomu linachemka)

4. Ajira kwa ujumla. vijana wakapata moyo na milion 50 kila kijiji. milion 50 hakuna vijana wa watoto masikini wametulia mtaani kuzurura nakushabikia mpira na ishu ya madawa ya kulevya.

Magufuli; " vijana jiajirini hapa kazi tu"

Vijana wamekaa kimya(bomu linachemka)

5. Watumishi wa umma: Hofu imewatanda wanafanya kazi kwa hofu bila kuwa na utaratibu maalumu, matamko yanafanya watumishi kushindwa kufanya kazi kwa utaratibu.

Magufuli: " narudisha nidhamu"

Wamekaa kimyaa sio kwamba wanafurahia ni shida tu" bomu linachemka"

6. Bank na wateja wao: ongezeko la vat '

Wamekaa kimyaa: "bomu linachemka"

7. Timua timua ya wanafunzi chuo. TCU waliwapokea leo hawana vigezo,
mikopo shida.

Wamekaa kimya: "bomu linachemka"

8. Machinga

Magufuli: " mtu asiwaguse"

mikoa mingi wamepewa taarifa hawatakiwi barabarani bila kupangiwa sehemu rafiki, mfano mzuri yaliotokea Mwanza.

Machinga wako kimyaa " bomu linachemka"

Sijagusia:

Polisi.
Wanasiasa( wapinzani)
Utalii.
Viwanda.
NSSF
Wakulima
Makusanyo ya mapato.
Bunge
Makundi ndani ya chama chako.

Tahadhari mh Magufuli kukimbia tazizo sio njia ya kutatua tatizo. unatengeneza mabomu mengi sana.

Wanakuvumilia na siku zote uvumiliza una mwisho wake

Usipochukua hatua natabiri mtikisiko mkubwa ndani ya utawala wako.
Makato ya Bodi 15%
Ila kuna mtu aliroga Watanzania, JF ni kitunza rekodi. Yakitangazwa matokeo ya uchaguzi 2020 tukijaliwa uhai huu uzi utakuwepo.
 
N

Nchi ikishanyooshwa mambo yatakua mazuri kama ulaya na ajira za kumwaga zitakuwepo. Ngoja kwanza wapiga deal waondolewe Nchi itakua nzuri and we can become a dona nation
 
utabili wako umetimia kwa kweli tunaona kabisa nchi inapinduka pinduka juu chini
 
N

Nchi ikishanyooshwa mambo yatakua mazuri kama ulaya na ajira za kumwaga zitakuwepo. Ngoja kwanza wapiga deal waondolewe Nchi itakua nzuri and we can become a dona nation
unaota ndoto bashite na baba yake ni akina nani si ndio wapiga dili wemyewe
 
Back
Top Bottom