Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

Utabiri kwa uongozi wa Rais Magufuli

Hapo mwisho sijui ni kibwagizo??
"bomu linachemka"[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
..umesahau kutoa angalizo kuwa ameweka nguvu kubwa kuhudumia jeshi ...maana anajua kuwa ndio watamsaidia pale mabomu hayo yatakapolipuka...haswa kwenye sanduku la kura 2020....ama kabla ya hapo....
 
Nchi hii magufuli haiwezi kabakiza ukali tu
hata msemeje magufuli hatawaachia muuze madawa ya kulevya tena. Imekula kwenu na hizi dili zenu fake. Wakati Wa jk watu walikuwa wanaumia zaidi Ila kikudi kidogo ndo kinaenjoy mjini wacha magufuli awanyooshe wotetule tule kwa jasho siyo nyie mnakula kilaini tu
 
wanasheria watakaotetea watu waliopatikana na vidhibiti tupq ndani alafu waunganishe kwenye kesi.
 
Hayo uliosema Sio kweli.
Because..This is Africa.
And afrika is different.
 
Jifarijini kuwa si muda mambo yatakuwa mazuri wakat kila mtu anaona jahazi linazama kila kukicha.si vizuri kumfariji mtu pale anapokosea badala ya kumrekebisha..but one day the time shall tell.
 
Sasa anza kutaja mazuri aliyoyafanya Mh. MAGUFULI. Ukiyataja 30 nitajua kuwa wewe ni mchambuzi mzuri sana.
Hayo mazuri unayo yajua ww ni yapi na yamekusaidiaje au jamii inayokuzunguka, unataka utuletee habari ya bombadia wakati watu wanataabishwa na njaa
 
Ukisema tu ukweli ambao ni mchungu unaitwa we mchochezi~~Bomu linachemka
 
Mi naona tatizo alilonalo ni kutosikiliza ushaur wa watu.na kutoielewa jamii inataka nini, tena kwa wakati gani na mahali gani.pia bila kusahau kauli za kukatisha tamaa.mambo hayo yakiendelea ipo siku yayamponza
 
Makato ya bodi ya mikopo yaliyopandishwa kwa asilimia mia
 
Elimu bure,wanafunzi wengi,walimu hakuna.Wachache waliopo wamekata tamaa kabisa.
 
Siyo bomu linachemka sema Nyukilia ipo njiani
 
Ni kweli serikali ya jpm imeshindwa tatizo wakuwasaidia hawaonekani tuliowategemea ndo kwanza wanapokea vituko
 
Back
Top Bottom