78Kuku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 562
- 754
Acha ujinga.Wakuu kwa kinachoendelea kuhusu Covid 19, chonde chonde naiomba serikali yetu sikivu iufute huu mchezo au kama unachezwa uchezwe kusiwe na mshabiki hata mmoja uwanjani
Naandika huku naogopa kwa kinachoendelea kuhusu covid 19 nchini hali ni Mbaya mnooo
Uhai ni bora kuliko huu mchezo wana kigoma wanaenda kuumia kama ilivyo Mwanza sasa hivi
Serikali futeni huu mchezo hali sio nzuri na kingine watu hawavai barakoa
Asante