Uswazi na misosi!

muhimu sana hiyo maana tunaoishi uswahilini wageni zetu huwa wanavizia mida ya lunch.

Heheheheheh umenikumbusha enZi hizo bwana

Kuna wageni fulani (family friends) wao muda wa kutembelea ni karibia na msosi, sasa mkiwa mnakula wanapita kuchukua nyama tu hahahahah mwenyewe unaiwejea uile mwisho mgeni anaichukua

Hehehe unaishia kula mchuzi
 
Hahahahah hii thread imenikumbusha mbal jaman,nlishawah mchoma my brodah na ugal jichoni kisa kanìibia nyama!lol utoto raha jaman,cku hyo nlichapwa sana na my dady hahah!
 
Mkuu siku ukialikwa ikulu ukakutana na nyama "shazi" utakula mwishoni hizo nyama?

Kuna siku nilijikuta humo ndani kikazi. Wageni walipoondoka kilibaki chakula cha Kumwaga. Nikaona hapa leo wali Utanisamehe. Ilikua ni kuchapa nyama pori,vyuku,samaki,mbuzi,swala,bata yaani mpk unachemsha. Mule ndani jamaa wanafaidi bana.
 

Kaka nawe ulikulia pande zile? Nilikuwa napanda hadi kwa alimaua na kijitonyama kule kufuata mnuso, hadi ikawa msosi wa home hauna ladha ukilinganisha na wa kugombea kwenye shughuli
 
Mie enzi zangu basi likiletwa sinia la wali yani kabla halijawekwa mezani naanza kuangalia wapi kuna nyama kubwa yani likifika tu naidaka ile nyama kubwa then ndo naendelea kula
 
Mie enzi zangu basi likiletwa sinia la wali yani kabla halijawekwa mezani naanza kuangalia wapi kuna nyama kubwa yani likifika tu naidaka ile nyama kubwa then ndo naendelea kula

Hahhhahhhahha kama mimi aiseee lol
 
CC: Ennie & snowhite ili mtokwe na udenda!!!!!!!!!!

Mie nikishashiba siwezi kula tena nikafurahia ninachokila kwahiyo hapo ningeanza na kitu adimu kwanza ili hata nikishiba kwenye sinia ukabaki wali poa tu huo unaliwa daily!!!
 
Nyama haijawahi kuwa priority yangu kwenye chakula, i just dont like it.

Firigisi nadhani ndo my best nyama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…