Uswazi na misosi!

Hahahahahahaaaaaaaaaaa
Mkuu ulikua hatari wewe!!!!!
 
Sie tulikuwa tunaambiwa na mama mboga za majani ndo zinajenga mwili nankuongeza damu so nyama tulikuwa tunakula kwa nadra sana. Siku ya nyama sasa dah nilikuwa sichezi mbali... nikitumwa nawahi kurudi lol nazengea zengea pale jikoni huku nikimuuliza mama... mama nikuonjee kama imeiva? Lol mam was always so kind alikuwa akinipa nionje kidogo
 
Kwani we wabebz umeanza kuwafukuzia ukiwa na umri gani?
Kwa maelezo yako ya kupotea kwenye mdundiko kwa ajili ya kufukuzia mbebz

Nina uhakika ulikua na miaka mitano, sita au saba

Sasa umri huo sidhani kama ulikua unafukuzia wewe ulikua unalishia kuja kustuka ukajikuta umeshafika sinza, umepotea tayari

Ndio maana nikasema ulikuwa hujapevuka
 
Kunguru wakawafanya muwe mnakula nyama kwanza

Kwanini msitengeneze manati mkuu?
Dah! Walikuwa wanakera mbaya, umejipanga ule kuku then anakulenga! Na nia yako n kuku sio wali! So ikabidi strategy zibadilike!
 
ukimlea kiyai yai dada atamfundisha tu. wangu anamiaka 4 dada keshanisaidia kumfundisha kunawa akijisaidia yeye dada anamwagia maji ananawa mwenyewe tena na sabuni

hahahahaha madada wa hawadekezi ukitoka tu wanafanya yao
 
Ikilikuwa kama una history mbaya kwenye minuso ya kuwahi kukimbilia nyama basi nyumbani wako radhi wafunge vioo then wanakununulia kilo moja ya utumbo unapikiwa kisha unaambiwa ukombe hadi iishe yani kitakachofata hapo utakuwa mbali na nyama kabisa
 
Dah! Walikuwa wanakera mbaya, umejipanga ule kuku then anakulenga! Na nia yako n kuku sio wali! So ikabidi strategy zibadilike!

Dawa yao ni manati tu!!!!
 
Ikilikuwa kama una history mbaya kwenye minuso ya kuwahi kukimbilia nyama basi nyumbani wako radhi wafunge vioo then wanakununulia kilo moja ya utumbo unapikiwa kisha unaambiwa ukombe hadi iishe yani kitakachofata hapo utakuwa mbali na nyama kabisa

Hii inaitwa komesha ...lol!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…