Uswazi kuna raha zake, wazijua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uswazi kuna raha zake, wazijua?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ulimakafu, Aug 6, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,001
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Asikuambie mtu kuhusu mambo na matukio ya mitaa ya uswazi..

  1.Ugali huiwa mara mija tu saa 9 alasiri na mboga ni moja tu-watoto mida hiyo huwakosi home.
  2.Kulala ni chumba kimoja tu,watoto wa kiume na kike humo humo.
  ..............endelea................
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii ndiyo raha?
   
 3. m

  muhanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  3. vyoo vyake shurti ujifunze kichura chura maana ukikata gogo lazima uruke kidogo juu vinginevyo makalio yatakuwa kwenye hali mbaya..
  4. mgeni akija akapewa soda basi atarajie kina uncle/aunt kumzonga miguuni huku wakijisemelesha 'hata mie nakunywaga hiyo soda....'
   
 4. m

  muhanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  heheeee hiyo ndio raha yake, ni kama unaposifia kitu kizuri halafu eti duh kitu kizuri 'ile mbaya'!
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  1..kuoga kwa foleni na choo kiko mbali na nyumba wapangaji na mwenyewe kugombea asubuhi
  2..Ijumaa hukosi kigodoro..huko videmu vya kiswazi vinawindana na vidume vyao
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na wakati wa mvua vyoo vinatapishwa.....
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chorus
  Hivi ni vituko Uswahilini ebwana eh uswahili kuna vituko oh oh

  verse inspector Haroun
  Hole wako Uishi nyumba za kupanga yani ndani una sofa luninga misosi kibao ya kumanga! Kwanza utaonekana unalinga vitaanza visa mara kodi ya nyumba kupanda,ole wako simu iite mtaani yani ukipokea tu,yes hallow!! Yani itawaumaaaa!!
   
 8. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  neno kama mse*** ni la kawaida sana kwenye midomo yao,kuwekeana nyimbo za taarabu
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kuombana chumvi,unga, mboga na viberiti ni jambo la kawaida. . . unapika ugali mboga unaomba kwa jirani.
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Unatembea na mswaki wako ukiwa mdomoni mpaka dukani kununua sigara.
  Akiongea sasa, mipovu ya dawa ya mswaki ina tiririka kidevuni.
  Uswazi ni Full Vituko asikwambie mtu
   
 11. m

  matambo JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  1:nyumba haina slingi bodi, na kitanda kinapiga kelele, so wa vyumba vingine mnajua jamaa muda huu wanachapana huko
  2:watoto kuoga ni kwa mbinde ila ukipikwa wali saa 12 na nusu kila mtu kashaoga
  3:kula hakuhitaji bajeti kali sana mafungu 2 ya dagaa wa mwanza, nyanya za 200 maji mengi na unga nusu familia ishapona
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  hihihihi uswazi nomaukishangaa unakuta jirani kakudokolea mboga hapa choo hapa watu wanakula kupikia ni vikoridoni yaani uswazi taabu tupu
   
 13. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  chabo.....................lol
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mchele waanza chambuliwa saa Saba mchana, wali shurti uungwe thoumu ili mtaa wote waelewe!
   
 15. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hivi kula mmoja ni raha? Au kulala big brother ni raha, heheheeeee
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Kula uroda mama mtu,dada mtu,na mdogo mtu ni kawaida ili mradi uwe na chapaa mbuzi
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,001
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  HUku umefunga taulo au khanga ya bi mkubwa.
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,001
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Na mdingi anamezea maana ni muwezeshaji wa familia.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,001
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Ha haaa............
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,001
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  wanaanza wakiwa wadogo sana.
   
Loading...