Uswazi kuna raha zake, wazijua?

Nyumba mbili tofauti wanawake wanaombana chumvi na kupeana madirishani jinsi nyumba zilivyobanana. Pia utakuta mtu kavaa mashati matatu lakini mgongo unaonekana
 
uswazi magumash tupu unamkuta mbaba mnene tumbo hilii kavaa kataulo kadoogo na mswaki mdomoni anakatiza mitaani asubuhi ma mapema bila wasiwasi
 
Nyumba mbili tofauti wanawake wanaombana chumvi na kupeana madirishani jinsi nyumba zilivyobanana. Pia utakuta mtu kavaa mashati matatu lakini mgongo unaonekana

Mambo ya uswazi ni noma.
 
Kwenda kuoga asubuhi kwa foleni na lazima mama/baa mwenye nyumba aanze.
 
Back
Top Bottom