safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,187
Kama haisrmwi sana manake hata hayo maneno sio mengi sana kulinganisha na maneno ya kiarabu.Ni kweli kabisa kwamba Lugha ya Kiswahili ina maneno mengi ya Kiarabu lakini haisemwi sana kwamba kuna maneno ya Kihindi pia.