Kwa jinsi navyojua lugha ya kiswahili ina misamiati ya kiarabu mingi tuu hili limetokana na muingiliano baina y wabantu na waarab.
Misamiati ya kiarabu kuwepo ktk lugha ya kiswahili hakufanyi asili ya kiswahili kuwa n Waarab
Kwa makadilio misamiati ya lugha y kiswahili kwa 80% imetoka katka lugha za kibantu huku 15% ni misamiati toka lugha y kiarabu na 5% ni misamiati toka lugha zingne(kiajemi,kihind,kijeruman,kingereza, kireno,n.k)
Kwa hoja kiswahili asili yake ni kiarabu inakosa mashiko kutokana inaegemea zaid upande wa misamiati na kusahau mtindo,muundo,matamshi (SARUFl)
Hivyo basi kiswahili kwa % kubw ni ubantu.Kwasababu ubatu unajidhihirsha ktk Muundo,Mtindo,Matamsh,na kimsamiati.Tofaut na kiarabu knacho jidhihirisha kimsamiat na kihistoria
Asili ya kiswahili ni kibantu
Uswahili kama utamadun basi asili yake ni Uarabun ukiegemea zaid kimavaz,,unywaji,makulaj n.k
I stand to be corrected
By:G.Miguel
“Es mi futuro en mi vida”