inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,773
- 22,592
etoile du sahel..etoile ya uswahilini..mwarabu kafika pwani siku nyingi kabla ya mhindiKati ya vitu vinavyojenga tamaduni ya jamii fulani mavazi hayana nafasi. Hivi ni kwa nini ni rahisi kuwatambua wamasai kama si kwa uvaaji wao?