"Uswahili ama Mswahili" ana tatizo gani?

Mswahili Ni Kama mtu wa Gongo la Mboto au Mbagala, ustaarabu kwake Ni ziro.
Akikopa halipi
Akiazima harudishi
Kuwasema wenzie vibaya ndio yeye,
Anapenda mchiriku na mnanda
Wake zao wanavaa madera
Duh

Ova
 
Uswahili ni kama mjumuisho wa tabia nyingi chafu ( sio chafu zote) zinazofanywa na binadamu hasa wanyonge/masikini Mfano. kuwa na salamu ndeeefu yenye unafki + u'sanifu ndani yake ( Upo boss kubwaa, nakuona bwana !, maji makubwa nini !, ), kuzungumza masuala ya mtu kama kiburudisho (Shoga una habari mtoto wa baba naaa kaferi ; wee usiniambie, ) nk

Uswahili ni Variable si tatizo kwa wote. Uswahili unakera, uswahili unakwamisha, uswahili unafitinisha nk
Safi sana.
Kutwa kuchunguza/kusemasema watu wengine. Kuchukia mafanikio(wivu), kufurahia maanguko/matatizo
 
Mtaongea yote kuhusu mswahili lkn mswahili Ni mtu mwenye amani sana. Ni nadra sana kukuta mswahili ana msongo wa mawazi au presha.
Mswahili ana ushirikiano sana na wenzake, hata wakati wa kupiga mswaki mswahili utamuona nje anapiga stori huku amevaa taulo au kanga ya waif.
Mswahili ukiwa nae karibu wewe Ni mtu mzuri Ila ukiondoka ndio unakua mbaya.
Mswahili wanaushirikiano Hadi kuombana chumvi, mboga mpaka unga. Mswahili anamruhusu mtoto wa jirani aje kwake kuangalia TV kitu ambacho wengi wenu humu hamruhusu.
Mswahili is a social being unlike you mnaojifungia kwenye mageti Kama wafungwa wa kisongo.
 
Waswahili wa Mikoani wao in kukuroga tu, hana time na wewe. We jifanye unajenga nyumba na bati la Msauzi, mwezi mmoja tu, unaanza kubweka kama mbwa!
 
Huyu ndiye Mswahili
 
Mtaongea yote kuhusu mswahili lkn mswahili Ni mtu mwenye amani sana. Ni nadra sana kukuta mswahili ana msongo wa mawazi au presha.
Mswahili ana ushirikiano sana na wenzake, hata wakati wa kupiga mswaki mswahili utamuona nje anapiga stori huku amevaa taulo au kanga ya waif.
Mswahili ukiwa nae karibu wewe Ni mtu mzuri Ila ukiondoka ndio unakua mbaya.
Mswahili wanaushirikiano Hadi kuombana chumvi, mboga mpaka unga. Mswahili anamruhusu mtoto wa jirani aje kwake kuangalia TV kitu ambacho wengi wenu humu hamruhusu.
Mswahili is a social being unlike you mnaojifungia kwenye mageti Kama wafungwa wa kisongo.
[emoji38][emoji23]
Mkuu una elimu pana sana kuhusu mswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswahili ni kama mjumuisho wa tabia nyingi chafu ( sio chafu zote) zinazofanywa na binadamu hasa wanyonge/masikini Mfano. kuwa na salamu ndeeefu yenye unafki + u'sanifu ndani yake ( Upo boss kubwaa, nakuona bwana !, maji makubwa nini !, ), kuzungumza masuala ya mtu kama kiburudisho (Shoga una habari mtoto wa baba naaa kaferi ; wee usiniambie, ) nk

Uswahili ni Variable si tatizo kwa wote. Uswahili unakera, uswahili unakwamisha, uswahili unafitinisha nk
Basi tuachane na hii lugha..
 
Tabia mojawapo ya uswahili ni kuwa na maneno mengi yasiyo ya muhimu au ulazima wowote
 
Shida ni waarabu, walituaminisha wao na tamaduni zao kuwa bora, yaani "ustaarabu".Mswahili na uswahili ni mtu na tamaduni yake,ambayvo havina shida kama havipimwi na tamaduni zingine.
Upo sahihi, waswahili wa pemba hujuana kwa vilemba.
 
Mtaongea yote kuhusu mswahili lkn mswahili Ni mtu mwenye amani sana. Ni nadra sana kukuta mswahili ana msongo wa mawazi au presha.
Mswahili ana ushirikiano sana na wenzake, hata wakati wa kupiga mswaki mswahili utamuona nje anapiga stori huku amevaa taulo au kanga ya waif.
Mswahili ukiwa nae karibu wewe Ni mtu mzuri Ila ukiondoka ndio unakua mbaya.
Mswahili wanaushirikiano Hadi kuombana chumvi, mboga mpaka unga. Mswahili anamruhusu mtoto wa jirani aje kwake kuangalia TV kitu ambacho wengi wenu humu hamruhusu.
Mswahili is a social being unlike you mnaojifungia kwenye mageti Kama wafungwa wa kisongo.
Kweli maskini hafilisiki! Msongo au pressure vitoke wapi wakati mswahili ameridhika? Anapiga mswaki saa nne, anakoga na kuondoka kwenda kwenye bao au maskani. Huko atambomu mtu hela, ataenda sokoni kuhemea na siku zinaenda.
 
Mswahili ni mtu mwenye Mambo yasiyo ya kiungwana..
Alama za mswahili.

--asubuhi kupiga mswaki barabarani au kunawa uso barabarani badala ya chooni.

_kupenda kukaa vibarazani na kusema wapita njia,,au kusema vibaya watu wengine.

-- roho mbaya ndy ugonjwa sugu unaomsumbuwa mswahili.

-- hapendi kuona mwenzie kafanikiwa.

-- anapenda kuona wenzie wanashindwa.

_kupenda kuchunguza maisha ya watu Kala nini? Anaishije?

_hasimamii maneno yake,,mtu muongo muongo.

_akikopa ndy ticket ya kubadili njia au kukimbia kabisa.

_90% ya mswahili hutumia Choo cha kienyeji(shimo) na kuoga kwa kopo na ndoo.
 
Wewe utakua mswahili mwenzangu, ulijuaje yote haya kama hujakaa Mburahati
 
Back
Top Bottom