Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,945
- 4,827
Habari wakuu
Wakuu imekuwa kawaida sana katika harakati zetu za kila siku na jamii kiujumla kusikia mtu akisema acha "uswahili"
Ama kusikia mtu akisema yule jamaa Mswahili sana,
Au kumsikia mtu akisema mi siwezi kuishi uswahilini
Swali: ukizingatia sisi ndio waswahili wenyewe, je uswahili una tatizo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app