Mkuu. Nakaa Kimara na sihamiWewe utakuwa jirani yangu huku mbagala sio Kwa majibu hayo ๐๐๐
Wasoma comments wengi ni waswahili[emoji38]Raha sana kuangaia comments za kiswahii[emoji23][emoji23]
NIMECHEKA aiseeeeWazungu wanagundua vitu mbalimbali, Mswahili kagundua kuchezesha tako moja , kisha anahamia tako la pili, analitingisha kimpango mwingie tena.
Hii kitu inaitwa Mswahili effect
We mzee fala sana๐๐๐Wazungu wanagundua vitu mbalimbali, Mswahili kagundua kuchezesha tako moja , kisha anahamia tako la pili, analitingisha kimpango mwingie tena.
Hii kitu inaitwa Mswahili effect
Humjuwi mdengereko wewe.Ila mbele ya mmakonde,yaani ukimlinganisha mswahili na mmakonde, mswahili Ni mzungu. Jamani mmakonde hata umpake chumvi kaa mbali na hao binadamu....
Mdengereko anatokea Moro au Ruvuma?Humjuwi mdengereko wewe.
Rufiji hapo we acha tu hawa jamaa.Mdengereko anatokea Moro au Ruvuma?
avatar yangu ina maelezo yoyote ya kuonesha mimi ni mswahili ?Mkuu kwahiyo avatar yako inaonesha wewe ni mswahili[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Avatar ina-reflect uhalisia mkuuavatar yangu ina maelezo yoyote ya kuonesha mimi ni mswahili ?
avatar yako ina reflect uhalisia gani ?
Mkuu jokes tu bhn, usije ukapanicavatar yako ina reflect uhalisia gani ?
Ha ha ha.....๐ ๐๐คฃ๐๐๐๐Wazungu wanagundua vitu mbalimbali, Mswahili kagundua kuchezesha tako moja , kisha anahamia tako la pili, analitingisha kimpango mwingie tena.
Hii kitu inaitwa Mswahili effect
๐๐๐
Nakumbuka Kuna siku Nyerere alitembelea Rufiji na kuongea na wananchi, Nyerere akawaeleza jinsi bonde la Rufiji linavyoweza kuwaletea maendeleo kupitia kilimo. Baada ya miaka kadhaa Nyerere akarudi Tena nakukuta Hali Ni Ile Ile duni. Akawauliza vipi mbona bonde hamliendelezi? Mjinga mmoja akapewa maik. Aliponyanyua mdomo alisema, 'Bonde liko vile vile kwasababu wewe Rais hujatuletea hao watu wakutulimia hili bonde.Rufiji hapo we acha tu hawa jamaa.