Pole sana mkuu , hao sio paka , hao ni watu wa makambako , huo ni uloziSerikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Tatizo hata ukiwapa nyama hwatosheki, wanakula wanarudi tena tu kusumbua.Naona watanzania hatuna moyo na viumbe wasio binadamu(non-human creatures).
Mimi huwa nawapatia kidogo...
Unavyowaonea watoto wa mitaani huruma na kwa hao paka ni kitu kama hicho.
Jinsi binadamu tunavyosongamana nao wanapata tabu kuishi...
Unawatupia mbali huko, halafu unawafukuza.Tatizo hata ukiwapa nyama hwatosheki, wanakula wanarudi tena tu kusumbua.
Halafu kitimoto cha kuwalisha paka watatu nitawezeje??
Ni kweli isee paka wanaomba kama watu yaani unajikausha anakugusa mguu ili umwangalie anavyotia hurumaa..Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Kaka watoto wa paka wana hitaji huruma zaidiNaona watanzania hatuna moyo na viumbe wasio binadamu(non-human creatures).
Mimi huwa nawapatia kidogo...
Unavyowaonea watoto wa mitaani huruma na kwa hao paka ni kitu kama hicho.
Jinsi binadamu tunavyosongamana nao wanapata tabu kuishi...
Tena wanakuaga na kiburi hawatakagi mifupa wanataka steki....we rusha mfupa atanusa tu ataachaUvivu tu wa kuwinda panya, kitimoto sio kitu ya kugaia paka
Uwe unanunua sumu ya panya ukiwa unaenda kula kitimoto, ukifika finyango 3 zinamaliza paka wote.Tatizo hata ukiwapa nyama hwatosheki, wanakula wanarudi tena tu kusumbua.
Halafu kitimoto cha kuwalisha paka watatu nitawezeje??
Hahaha wewe ukipewa mfupa unakula mkuuTena wanakuaga na kiburi hawatakagi mifupa wanataka steki....we rusha mfupa atanusa tu ataacha