Kero yangu ipo kwenye mfumo wa chuo Cha elimu ya biashara (CBE) Upande wa account za wanafunzi toka mwezi wa 12 mpaka sasa mwezi wa pili mfumo unasumbua wahitimu tunashindwa kufanya maombi ya vyeti na tuliomba ukifika chuo unaambiwa mtandao unasumbua hovyo tunapata tabu tupo nyumba ya soko la ajira kwa kukosa vyeti. Tafadhari tumechoka jamani