Usumbufu tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usumbufu tanesco

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dagaa, Mar 15, 2012.

 1. dagaa

  dagaa JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  Habari zenu wanajamvini, mimi ni mtanzania wa kawaida, tumejenga nyumba yetu na familia yangu, ikafikikia hatua ya kuweka umeme, tukafanya process zote, za kufunga nyaya na kila kitu, ikaja ishu ya kwenda tanesco, kwanza savei wakaja wakafanya ukaguzi wao wakasema powa, wakapeleka fail langu kwa engineer ndo lilipo kwamia, kasema eti awezi kutia sahii faili coz kuna kasoro, na kasoro anazodai eti tupo karib na umeme wenye nyaya zinazotumia mtambo mkubwa so awezi kuweka sahii mpaka aende kufanya savei, pale tulipo kweli kuna mnara ila upo mbali na pale kuna nyumba kibao na zote zina umeme, si tumejenga mbezi makabe, sasa tatizo linakuja kwa huyo engineer kila siku akipigiwa simu aje achukuliwe anasema yuko kwenye vikao, mara yuko biz yani ni tabu tupu mpaka kero, sasa nilikua nafikiria sijui anataka kitu kidogo. naombeni msaada kwenu wana jamvini kama kuna msaada wa kunisaidia nisaidieni, unaweza kutumia email yangu hey_layb@yahoo.com kwa mawasiliano zaidi, nakingine kilichonishangaza ukitaka savei unalipia 8000/= ya mafuta eti hawana mafuta unawawekea.
   
Loading...