Nimeona hao wanaita istructors wakiingia front.Russia hakuna kitu Cha ajabu imefanya CAR,Kule Imepeleka Military Instructors tu.
Ungeeleza huko CAR Kuna majeshi ya kutoka nchi gani na nchi gani ili tuone wanapewa sifa warussi ambao Ni instructors tu au watu walioko kwny battle. ?
Instructors vs Mercenaries.Nimeona hao wanaita istructors wakiingia front.
CAR wapo wanajeshi wa Rwanda, hao hadi wanamlinda Rais. Na hawa warusi ambao wanapambana.Russia hakuna kitu Cha ajabu imefanya CAR,Kule Imepeleka Military Instructors tu.
Ungeeleza huko CAR Kuna majeshi ya kutoka nchi gani na nchi gani ili tuone wanapewa sifa warussi ambao Ni instructors tu au watu walioko kwny battle. ?
Sawa mkuu.Kama wangekuwa mamluki sidhani kama wangepata ridhaa ya UN.
SahihiUkiondoa socialism hakuna kingine wameleta.
Red Giant, unakikumbuka chuo cha MTC kule Iyunga?USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets.
Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote, eneo la serikali halikuzidi 10%. Rais wao akaomba msaada Urusi.
Kwa ruhusa ya UN warusi wakaenda. Wamesambaratisha wababe wa kivita, leo karibu 90% ya nchi ipo serikalini. Inaonekana hawa jamaa wanajua jinsi ya kustabilize nchi.
Sasa historia na matendo ya hawa jamaa katika Afrika haitajwi sana. Ni mambo gani mengine yalifanywa/ yanafanywa na hawa jamaa barani Africa? Mambo ya maendeleo, kiusalama au kijamii.
Walijenga Chuo Kikuu Cha Mbeya MUSTUSSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets.
Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote, eneo la serikali halikuzidi 10%. Rais wao akaomba msaada Urusi.
Kwa ruhusa ya UN warusi wakaenda. Wamesambaratisha wababe wa kivita, leo karibu 90% ya nchi ipo serikalini. Inaonekana hawa jamaa wanajua jinsi ya kustabilize nchi.
Sasa historia na matendo ya hawa jamaa katika Afrika haitajwi sana. Ni mambo gani mengine yalifanywa/ yanafanywa na hawa jamaa barani Africa? Mambo ya maendeleo, kiusalama au kijamii.
Msipende vya bureRussia haipo kwenye kundi la mataifa wafadhili, swala la ufadhilii haijawahi kuwepo kwenye sera yao ya nje, wao ni biashara tu nipe nikupe.
Baada ya vita vya pili vya dunia kumalizika yale mataifa yote yaliyojiunga na mrengo wa kushoto kwa maana ya Urusi yalibaki kuwa maskini hadi leo na huwezi kuzilinganisha zile nchi 17 zilizofuata mrengo wa kulia kwa maana ya Marekani.
Kama Urusi yenyewe tu imeshindwa kujiweka juu kiuchumi pamoja na rasilimali lukuki ilizonazo sasa sembuse washirika wake.
Nafikiri Urusi wana mfumo mbovu sana uliowekwa na akina dikteta Vladimir Lenin ambao wameshindwa kuachana nao miaka nenda rudi ambao ndio mchawi wao mkubwa na umejikita sana kwenye mindset za wananchi wake na inahitaji Complete Radical Change ili kuuondolea mbali.