Uspika wa Tulia Ackson Hautasaidia lolote Jimbo la Mbeya Mjini, yaweza kuwa ndio mwanzo wa umasikini wa kutisha

jishughulishe kujua wewe mwenyewe , sugu hajawahi kutembea na majeneza
NI UJINGA KUTETEA MHUNI AMBAYE HAKUNA KAZI ALIYOKUA ANAFANYA HUKO MBEYA YAANI MNAJIONYESHA NI KIASI GANI HAMFA KUPEWA NCHI CHADEMA NYIE NI WAPINZANI WA KUDUMU TU
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Maendeleo ya eneo:
1. Huletwa na aggressiveness ya wanainchi wa eneo husika
2. Wanasiasa huleta hamasa, na kusaidia kusukuma malengo ya wanainchi
3. Watu wa Mbeya ni hodari wa Kilimo , biashara, na elimu. Kwa mbunge wenu kuwa spika haiwezi kuondoa uhodari wenu kwenye mambo haya
4. Hofu ya mtoa mada ni jambo la kawaida kwamba sasa Tulia ataangalia a broad agenda ya wabunge wote na kusahau Mbeya. Kwanza huyu tayari alikuwa naibu spika, majukumu ya kitaifa alishaanza muda mrefu lakini bado alipata muda wa kuikumbuka Mbeya..... marathon, shindano la ngoma, etc etc
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
yaani we bi dada ukikosaga point sikuzingine unaongeaga pumba kweli sijui leo hujafikishwa kileleni ? maana unaongea vitu visivyo na maana kabisa kwataarifa yakotegemea maendeleo makubwa sana mbeya mjini kwa sasa
 
Katika wanaccm wewe ni kama vumbi tu
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Acha kuweweseka tunajua ni roho ya kwanini kwa vile alimshinda mwana chadema sugu
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Urambo kwa marehemu 6 umeiisahau napo ni majanga
 
kwani ubunge wa Sugu ulitusaidia nini sisi wakazi wa Mbeya mjini zaidi ya kumsaidia yeye mwenyewe kutuharibia vyanzo vya maji na kujenga hoteli ambayo hakutegemea kuwa nayo maishani, bila kuwa mbunge Sugu alikuwa lofa tu wa kuchezesha midomo kwenye matamasha.
 
Siyo lazm kuwe na tija hata tu ile political mailage inakuwa Safi mm nawapongeza kwa kuweza kutoa angalau mtu ambaye atakuwa mashuhuri katika taifa hili akitokea mbeya uoni hyo Ni sifa nzuri kwa mkoa kwa ujmla wake mtu kutoa mkuu wa muhimili Ni sifa nzuri San hyo ..tofauti na Huku kaskazini tunazidi kupoteza popularity za siasa Sana umaharufu wetu unapongua hvyo nawapongeza sna shemeji zangu kwa kupata nafasi za ukuu wa muhimili
Unapongeza UJINGA mtupu. Waachie nao wajinga wapokee hizo pongezi.
 
4. Hofu ya mtoa mada ni jambo la kawaida kwamba sasa Tulia ataangalia a broad agenda ya wabunge wote na kusahau Mbeya. Mbeya. ataikumbuka kwa marathon, shindano la ngoma, etc etc
Kama Mbeya itapata barabara 4, za kuboresha ile iliyopo, itakuwa siyo kwa sababu ya Tulia Ackson bali matakwa ya Nchi na Nchi jirani za Zambia, DRC na Malawi.

Tulia anaweza vitu mediocre kama kukopesha Bajaj, kuleta maahindano ya ngoma, kuleta marathon. Watu wa Mbeya wanaridhika na vitu vya hovyo sana. Kwa mfano wanafurahi anapowapa rambi rambi kila msiba ukitokea

Na ameona akili za wakazi wa Mbeya zinaridhika na UJINGA huo
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Unaleta kampeni chafu mwaka 2022 badala ya kusubiri 2025.
 
Kama Mbeya itapata barabara 4, za kuboresha ile iliyopo, itakuwa siyo kwa sababu ya Tulia Ackson bali matakwa ya Nchi na Nchi jirani za Zambia, DRC na Malawi.

Tulia anaweza vitu mediocre kama kukopesha Bajaj, kuleta maahindano ya ngoma, kuleta marathon. Watu wa Mbeya wanaridhika na vitu vya hovyo sana. Kwa mfano wanafurahi anapowapa rambi rambi kila msiba ukitokea

Na ameona akili za wakazi wa Mbeya zinaridhika na UJINGA huo
Rambi rambi huonyesha ukaribu wa mbunge kwa wananchi wake, hufuta machozi ya wafiwa. Huonyesha ukaribu na ubinadamu wa mbunge kwa wapiga kura wake.

Ni bora atoaye rambirambi kuliko anayejenga miundo mbinu halafu hayupo karibu na mioyo ya wapiga kura.
 
Hadhi ya bunge inazidi kupotea, wabunge wanalipwa mamilion ya pesa bila kazi yoyote
1642768201302.png

Bunge la Tulia laja kujichekesha na kuimba mapambio ili kumfurahisha Chief Hangaya na sio kuisimmamia serikali.
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Ingawa sija furahishwa na kuipitisha kwake kuwa mgonjwa pekee wa Uspika toka kundi la wagombea 70, lakini ni matumaini yangu kwamba Mbeya itafaidika kwa Ujio wake, kama matumizi ya Tazara n.k
 
Back
Top Bottom