Uspika wa Tulia Ackson Hautasaidia lolote Jimbo la Mbeya Mjini, yaweza kuwa ndio mwanzo wa umasikini wa kutisha

Maendeleo yanaletwa na spika? au watu wenyewe wa jimbo husika kupambana na fursa zilizopo na kujiletea maendeleo then Serikali kupitia organs zake kuleta na kuweka miundombinu sawa...?.. ..
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Huyu anakwenda kuwatimua wale covid 19 wenu kule bungeni.
 
Vipi kuhusu Iringa ( chief Adam sapi mkwawa na baadae nduguye)
Vipi kuhusu Samwel Sitta ( urambo Tabora)
Vipi Njombe ya Anna Makinda?
Je maeneo yao yamepiga hatua za maendeleo?
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Ukiwa na mawazo ya kinyumbu hivi ni hasara kwa maisha yako. Mbeya jiji Lina pilika nyingi na watu wako busy kwenye utafutaji wa riziki za Kila siku
Sasa u spika wa tulia utawafanya waache kazi wamsubiri tulia akawalimie matoke? Tulia atasababishaje umaskini wa wana Mbeya akiwemo sugu?
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Hizo sehemu nyingine walipata Spika lakini hawakupata maendeleo. Labda mjiulize walipokosea, na msifanye hayo makosa.
Yule akaenda kujenga ofisi kijijini kwao!!! Pengine wananchi wake hawakumuambia wanataka nini, akafikiri wanataka ofisi!! Watu wa Mbeya mnataka nini?
Hakuna wanalotaka kutoka. Acha kuwalazimisha watu waishi unavyotaka wewe. Kwani wasipokiwa na hiyo barabara wanakufa?
 
Siyo lazm kuwe na tija hata tu ile political mailage inakuwa Safi mm nawapongeza kwa kuweza kutoa angalau mtu ambaye atakuwa mashuhuri katika taifa hili akitokea mbeya uoni hyo Ni sifa nzuri kwa mkoa kwa ujmla wake mtu kutoa mkuu wa muhimili Ni sifa nzuri San hyo ..tofauti na Huku kaskazini tunazidi kupoteza popularity za siasa Sana umaharufu wetu unapongua hvyo nawapongeza sna shemeji zangu kwa kupata nafasi za ukuu wa muhimili
 
Katika wabunge wa mbeya sugu alisimamia miradi mingi vizuri .waulize mwakyembe kyela yeye ni kujisifia tu degree zake.akiwa waziri alishindwa hata kuleta kituo cha michezo mbeya.shida viongozi wengi wa mbeya wabinafsi sana ndo maana jiji la ovyo.mbeya watu wengi ni wabinafsi sana
 
Hata hku kwetu kasikazi bwam shemeji wnalalamika kuwa n wabinafsi sijui eneo gani siyo wabinafsi wasukuma tu
 
Katika wabunge wa mbeya sugu alisimamia miradi mingi vizuri .waulize mwakyembe kyela yeye ni kujisifia tu degree zake.akiwa waziri alishindwa hata kuleta kituo cha michezo mbeya.shida viongozi wengi wa mbeya wabinafsi sana ndo maana jiji la ovyo.mbeya watu wengi ni wabinafsi sana
Ulivyomtaja Mwakyembe nimebubujikwa na machozi kwa hasira
 
Hivi ujenzi wa barabara nne au hata mbili kutoka uyole mpaka mbalizi uliishia wapi? hivi kwa ukuaji wa jiji la Mbeya hao waheshimiwa kinachowashinda ninini?jiji kabarabara ka njia moja inashindwa hata na baadhi ya mikoa ambayo sio jiji, shame!
Tumeambiwa mwaka ujai wa fedha tutapewa
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
NI UJINGA KUFANANISHA UONGOZI WA MTU MMOJA NA MWINGINE HIYO NI ROHO YAKO TU ILIVYO MBAYA NA WIVU WA HUYO SUGU WENU KULIKOSA JIMBO KWANZA SUGU ALIIFANYIA NINI MBEYA MJINI ALIKUWA NA LIPI ALILOWAFANYIA WANAMBEYA? YAANI HATA MFANYE NINI JIMBO HALITAKAA LIRUDI TENA KWA HUYO MHUNI SASA MNACHOTAKIWA KUKAA KUANGALIA MAENDELEO YA MBEYA MJINI YATAKAVYOKUJA KWA KASI MPAKA WATASEMA WALICHELEWESHWA SANA NA HUYU MHINI WA CHADEMA
 
Back
Top Bottom