Uspika wa Tulia Ackson Hautasaidia lolote Jimbo la Mbeya Mjini, yaweza kuwa ndio mwanzo wa umasikini wa kutisha

Mby maendeleo yapo nyuma sana miundo mbinu ya kizamani haina hadh ya kuitwa jiji na uyo tulia ndy hamna k2 kbsa kiukwel mbeya wameisahau sana kwen maendeleo sjui wanakosea wapi
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Bunge lenyewe liko wapi? Patupu pale
 
Mbeya ilizaliwa Sugu akiwa Mbunge au ilikuwepo kabla?Utaulizaje miaka 10 ya Sugu na kuacha kuuliza miaka 46 ya CCM!
Basi waulize wana Mbeya kwa nini sehemu zingine za nchi zina maendeleo mazuri ya barabara wakati Mbeya hakuna! Ustuletee bla blah hapa!
 
Hivi ujenzi wa barabara nne au hata mbili kutoka uyole mpaka mbalizi uliishia wapi? hivi kwa ukuaji wa jiji la Mbeya hao waheshimiwa kinachowashinda ninini?jiji kabarabara ka njia moja inashindwa hata na baadhi ya mikoa ambayo sio jiji, shame!
Kijiji kikubwa kile mkuu
 
kwani ubunge wa Sugu ulitusaidia nini sisi wakazi wa Mbeya mjini zaidi ya kumsaidia yeye mwenyewe kutuharibia vyanzo vya maji na kujenga hoteli ambayo hakutegemea kuwa nayo maishani, bila kuwa mbunge Sugu alikuwa lofa tu wa kuchezesha midomo kwenye matamasha.
uzi unahusu Tulia Ackson
 
Siyo lazm kuwe na tija hata tu ile political mailage inakuwa Safi mm nawapongeza kwa kuweza kutoa angalau mtu ambaye atakuwa mashuhuri katika taifa hili akitokea mbeya uoni hyo Ni sifa nzuri kwa mkoa kwa ujmla wake mtu kutoa mkuu wa muhimili Ni sifa nzuri San hyo ..tofauti na Huku kaskazini tunazidi kupoteza popularity za siasa Sana umaharufu wetu unapongua hvyo nawapongeza sna shemeji zangu kwa kupata nafasi za ukuu wa muhimili
Unataka kulinganisha huyo Betina na Rais Sugu?

CCM acheni hizo huyo ni mbunge wa dictator magufuli Wala hii mbeya haikumchagua hata kidogo
 
ule mdomo unaendana sawasawa kabisa namiguuni shemeji anavumilia kwasababu ya elimu na pesa Mana ukisikia mwanaume kaoa mtu kwajili yapesa ndopale
 
Back
Top Bottom