Uso kwa uso na mkewe katika harakati za kuatafuta kimwana

duh!!!!!!!!!!!!!! huyo mwanaume ni nuksi kabisa yaani kweli biashara matangazo alikuwa akitangaza biashara yake pole kwa huyo mrs wake maana hapo ana mume tena pole sana,
 
Mada ya zamani hii lakini niliposoma tu kichwa chake nimebaki kucheka sana. Walimwengu wana vituko sana.
 
Wote hawafai hata kidogo!Na hawana maana,huyo mwanamke na jamaa yake walikutana pipa na mfuniko!
 
anapowakabidhi business card awaambie kuwa huyu jamaa kakuzimia na alikuona ila kaniomba nikupatie contact zake....
Mi nadhani hilo linamaliza utata wote.
Wife, nilitaka kuku-surprise!! Hujui wewe pekee ndo nimekuzimikia!??
 
Back
Top Bottom