Uso kwa uso na mkewe katika harakati za kuatafuta kimwana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Jamaa mmoja aliamua kujitoma pale IFM kutafuta totoz kwa staili ya aina yake pale alipoamkabidhi business cards zake mmoja wa wauza vioski nje ya geti opposite na wizara ya afya huku akimpa maelezo kuwa awape mabinti wakali atakaowaona. Pia alimueleza kuwadi wake kuwa anapowakabidhi business card awaambie kuwa huyu jamaa kakuzimia na alikuona ila kaniomba nikupatie contact zake....

09_09_31jpet.jpg

Bila hiyana muuza kioski aliwakabidhi mabinti wakali kadhaa bila kujua mmoja wapo alikuwa mke wa jamaa ambaye anasoma hapo IFM postgraduate ya Finance. Mkewe alipoona business card ya mumewe alistuka sana akaamua kununua line mpya na kuanza kuwasiliana nae kwa siri hadi siku ya miadi ilipofika jamaa akatahamaki anakutana na mkewe ilikuwa bonge la soo ila jamaa akageuza kibao kwanini mkewe alikubali kupokea business card kwa mantiki kuwa isingekuwa mumewe basi inaonyesha mkewe yuko huru kujiachia na wengine....
 
Inaelekea kwenye ukweli..ila ni movie nzuri kishenzi!
Hapo namruka wife futi mia, namwambia kuwa nilijua kuwa nawasliana na yeye, na ni utani tu!
Vinginevyo akikomaa hii ishu mbaya!
 
Hatuoni consideration ta kuadi hapa. Hivyo mashaka mengi yanatawala juu ya ukweli wa habari hii.
 
Inawezekana ni habari ya kufikirika. Walau basi ungeweka na picha ya IFM kuliko hiyo uliyotuwekea. Hiyo picha uliyoweka ni ya UDSM, namuona professional student (mwenye nyeusi) akijivinjari.
 
Jamaa mmoja aliamua kujitoma pale IFM kutafuta totoz kwa staili ya aina yake pale alipoamkabidhi business cards zake mmoja wa wauza vioski nje ya geti opposite na wizara ya afya huku akimpa maelezo kuwa awape mabinti wakali atakaowaona. Pia alimueleza kuwadi wake kuwa anapowakabidhi business card awaambie kuwa huyu jamaa kakuzimia na alikuona ila kaniomba nikupatie contact zake....

09_09_31jpet.jpg

Bila hiyana muuza kioski aliwakabidhi mabinti wakali kadhaa bila kujua mmoja wapo alikuwa mke wa jamaa ambaye anasoma hapo IFM postgraduate ya Finance. Mkewe alipoona business card ya mumewe alistuka sana akaamua kununua line mpya na kuanza kuwasiliana nae kwa siri hadi siku ya miadi ilipofika jamaa akatahamaki anakutana na mkewe ilikuwa bonge la soo ila jamaa akageuza kibao kwanini mkewe alikubali kupokea business card kwa mantiki kuwa isingekuwa mumewe basi inaonyesha mkewe yuko huru kujiachia na wengine....

Hapo ndipo ninapolazimika kuwaheshimu wanaume ambao wako smart kama huyo. Unaweza ku-cheat (ambalo ni kosa) ila ni kosa kubwa zaidi kukubali mbele ya wife wako kwamba kweli unatoka nje ya ndoa. Kwa jinsi huyo Bwana alivyoweza kucheza vizuri kete zake, naamini hapo ngoma ni droo (kama kununua cheni bandia kwa pesa bandia). Huyo dada hawezi kupata nguvu za kumpa kibano mumewe wakati tayari wote ni watuhumiwa!! Ningekuwa yeye ningemtumia mshikaji mwingine (shoga yangu) ili mimi nijitokeza muda wa kufumania. Hata hivyo siyo rahisi. Nawaheshimu sana wanaume wanaoweza kutunza heshima zao na familia zao hata kama wanatembea nje ya ndoa.
 
Inaelekea kwenye ukweli..ila ni movie nzuri kishenzi!
Hapo namruka wife futi mia, namwambia kuwa nilijua kuwa nawasliana na yeye, na ni utani tu!
Vinginevyo akikomaa hii ishu mbaya!
yaani dawa ni hiyo tu,unaruka futi mia kisha unamgeuzia kibao kama ulikua unamtega tu ulijua niyeye,unampandishia kichizi ,kisha unajifanya umemsamehe unampa na ofa ya kitimoto na bia,mwenyewe atalegea
kumbuka unafanya yote mfululizo bila kumpa nafasi ya kutoa maneno
 
DC nimeikubali idea yako ya huyu mwanaume angetumie mshkaji wake akafumanie

Huyu mwanamke ana busara. kwa nini nimdhalilishe mume wangu? hata mimi ningeenda mwenyewe na kumuomba asirudie huo mchezo. Tena namwendea na Bible, kumshushia mistari ya kwamba ni mapenzi ya Mungu yalifanya niipate ile business card.
akiniuliza nilipataje hiyo BC nitamwambia imezagaa kule chuo kwa machangu, na kila mtu anaandaa strategies za kukukomesha, so nimekuja kum-rescue. then namsamehe
 
Sweet revenge!

Mwe kumbe watu can go this far eeh? The same akili ingelitumika kwenye enterprising ................
 
Shinda ya Jamaa si ilikua ni mwanamke (pasi kujali wa aina gani)?? Kama Mkewe ndie alipoke Biz Card kwa ajili ya kumkomoa, hapo jamaa angemchukua huyo huyo mkewe akapumzike nae..Pengine, kwa uzee wetu unahitaji kujipima kama bado kina mama wanakufuata.
 
sasa hapa kama wife anaakili mbon ni rahisi2 jib, kwamba alipoona ni bussness kad ya mume wake ndipo alipohitaji kuichukua ili aone mwisho wake ni nini?
 
Back
Top Bottom