Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,954
- 6,075
Alishasema katika Uzi wake wa awali, naona leo kapita mule muleMi napend kujua historia ya jin lako tu... why WARUMI ?

Alisemaje kuhusu jina hiloAlishasema katika Uzi wake wa awali, naona leo kapita mule mule
Huyu ni mwanamke tena wale wanaokaa ndani tu hana mishe yoyote tena fullish age anasubiri kitengo na kama huyu ni dume atakua na chembechembe za ushostito sababu wanaume halisi hawabehave udemudemu
Huyu ni Ke mkuu,Girlfriend wako anapenda hiyo tabia yako ya kushinda kutwa mitandaoni?
ndo maana waswahili wakasema ukiwa m'mbeya jitahd uukumbuke uongo wako!Huyu ni Ke mkuu,
Kuna uzi alisema yeye anadate na vigogo wa serikali ( siyo ya Magufuli lakini )
Pia anampango wa kumegwa na Trainer aliyechepuka na Zari
Poa wacha niutafute ule uzindo maana waswahili wakasema ukiwa m'mbeya jitahd uukumbuke uongo wako!
Piga screen shoot hayo maneno, arafu uyaweke hapa!
itakuwa umefanya jambo zuri sana..Poa wacha niutafute ule uzi
Tupo bussy msiba wa mengi ww unaongea ungese usengee tu1. Kiuhalisia Mimi ni mpole sana na Nina aibu, sio muongeaji kabisa, mpaka nikuzoee sana.
2. Japokua huwa napost sana kwenye jukwaa la celebrities, ila Mara nyingi napenda zaidi kusoma threads kutoka jukwaa la jamii intelligence kuliko celebrities forum .
3. Mara chache sana huwa nacomment kwenye thread za watu wengine humu C.F , sijui ni kwa nini , Ila huwa najisikia raha sana ku comment kwenye thread ninazoanzisha mwenyewe
4. Sina bifu na hance mtanashati au na mtu yeyote Yule ambaye anapost habari humu celebrities forum , kwa sababu Mimi naona kazi zangu zinapendwa zaidi mpaka nashindwa wa kujifananisha nae.
5. Endapo ikatokea tukapishana kauli na mtu kwenye uzi flani, huwa sina tabia ya kuweka kinyongo kabisa , Mimi huwa nasahau sana na mwepesi kusamehe.
6. Watu ambao Nina wakubali na kuwaeshimu sana humu jf ni Heaven on Earth lusungo mshana @ rakhims pasco Mama Sabrina @ heaven sent @ mrembo by nature @ matola @ mzizi mkavu @ nyani ngabu Evelyn Salt, na wambea wenzangu wote, majina ni mengi , siwezi Maliza yote humu .
7. Swali ambalo limekua likileta utata sana humu jukwaani ni jinsia yangu , niseme tu kwa hapa nimeweza kucheza na akili za watu wengi mno na kuwapa utata juu ya jinsia yangu, nadhani ni kipaji tu na ubunifu vinamifanya niweze ku switch na kucheza na hizi jinsia mbili na kuleta utata kwa watu , na nimalizie kwa kusema suala la jinsia litabaki kuwa siri yangu kwa sasa
8.huwa sina marafiki kabisa kwenye maisha yangu ya kawaida , hivyo natumia jamii forum na app nyingine kwa ajili kubadilisha mawazo.
9. Sina ndoa
10. Ni Mtanzania / mkenya
Haya wanazengo mnaweza kuongeza na maswali mengine ya maana , kama kweli unatak kumjua warumi wa halisi. Nitajaribu kuwajibu wote watakaouliza maswali ya maana tu , pia ushauri unakaribishwa.
Wewe ni mwanamke. Full stop.1. Kiuhalisia Mimi ni mpole sana na Nina aibu, sio muongeaji kabisa, mpaka nikuzoee sana.

Huyu ni Ke mkuu,
Kuna uzi alisema yeye anadate na vigogo wa serikali ( siyo ya Magufuli lakini )
Pia anampango wa kumegwa na Trainer aliyechepuka na Zari
Poa wacha niutafute ule uzi
itakuwa umefanya jambo zuri sana..
Ila trainer kadamshi, mwili kama wote. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi
Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him , zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote
Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola
Ahsante mkuu kwa kunisaidia kuwekaPicha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba...www.jamiiforums.com