Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Skendo nyingi huwa ni za kutengenezwa na watu ili kukuchafua na kuonekana kwenye jamii kuwa wewe ni mtu wa ovyo sana

Skendo ambayo staisahau kwenye maisha yangu nilipozushiwa kuwa nina mahusiano ya kimapenzi na mwanaume shoga, na nikaambiwa na tarehe na sehemu tulipofanyia hicho kitendo,iliniuma sana nikajificha ndani haikusaidia,nikazima simu haikusaidia ..

Ili skendo iishe niliamua kukaa kwa watu walipo na kila aliyekuwa ananiuliza nilikubali yaishe, ila iliniuma sana

Je wewe mwenzangu umewahi kushushiwa skendo gani na uliikabilije kwenye jamii?
 
Nakumbuka wakati niko shule nilizushiwaga nadate na mwalimu wa physics ile skendo ilinitesaga sana nilifikia hatua hadi nikawa najifelisha makusudi maana nilikua nikifaulu tu watu wanasema nimevujishiwa paper,, toka nimeenda shule msosi wa shule nilikua sili ila ikafikia hatua ilibidi nianze kula tu hatakama situmii malage na sipendi kande maana ilikua nikinunua hata chips wanasema hela nimehongwa na mwalimu, nilikuaga kiongozi lakini ikabidi nijiudhuru tu maana ilikua nikisimama assembly hata kutangaza naona kama shule nzima inanizomea🤦‍♀️🤦‍♀️...iliniumiza na kunitesa sana kisaikolojia ukizingatia na mwalimu mwenyewe alikua mkali hata kuanza kumuuliza naogopa naanzia wapi,, nilimwomba mzee anihamishe shule alikataa hadi nikatamani nitoroke😂😂😂.. Nilikuja kujifunza baadae sana kwamba inabidi uishi tu maisha ya kawaida ambayo almost kila mtu anaishi maana ukijiweka tofauti tu watu wanaanza kufanya assumptions za kipuuzi
 
Hata kama ulikuwa hutumii nini?
Nakumbuka wakati niko shule nilizushiwaga nadate na mwalimu wa physics ile skendo ilinitesaga sana nilifikia hatua hadi nikawa najifelisha makusudi maana nilikua nikifaulu tu watu wanasema nimevujishiwa paper,, toka nimeenda shule msosi wa shule nilikua sili ila ikafikia hatua ilibidi nianze kula tu hatakama situmii malage na sipendi kande maana ilikua nikinunua hata chips wanasema hela nimehongwa na mwalimu, nilikuaga kiongozi lakini ikabidi nijihudhuru tu maana ilikua nikisimama assembly hata kutangaza naona kama shule nzima inanizomea🤦‍♀️🤦‍♀️...iliniumiza na kunitesa sana kisaikolojia ukizingatia na mwalimu mwenyewe alikua mkali hata kuanza kumuuliza naogopa naanzia wapi,, nilimwomba mzee anihamishe shule alikataa hadi nikatamani nitoroke😂😂😂.. Nilikuja kujifunza baadae sana kwamba inabidi uishi tu maisha ya kawaida ambayo almost kila mtu anaishi maana ukijiweka tofauti tu watu wanaanza kufanya assumptions za kipuuzi
 
Niliwahi zushiwa kijijini Mimi ni mwizi wa nguruwe baada ya mfugaji mmoja kuwaachia nguruwe wake na kuaribu bustani yangu ya viazi hivyo Mimi nikakamata nguruwe Moja nikafanya sherehe hapo nyumbani,wakanitungia jina wakaniita manguruwe

Kwakweli iliniuma mno
 
Malage😃😃🤔
Sawa mkuu.
 
Kwa hyo mgeni akija mtaani kwako mkuu anatambulishwa pale n Kwa bwana manguruwee

Maishà hayaa
 
Mimi miaka ya 90 kuna msichana nilimpenda mtaani lakini kutokana na utoto nikashindwa kumwambia nikawa nampa pesa tu, siku moja nilimpa pesa shilingi ishirini , kumbe kuna mtu aliniona akaenda kuwaambia wazazi wake yule binti.
Wazazi wake wakorofi wakanijazia watu mtaani wakanitukana sana kwamba namtom** binti yao.
Mwishoni wakasema huyu mtoto ni popobawa kabisa kabisa hafai.
Ikumbukwe miaka ile ya tisini ndio ile kadhia ya popo bawa ilikuwa imepamba moto.
Kuanzia hapo nikawa naitwa jina la popobawa.
Kwakweli nilikuwa naumia na kusononeka sana.
 
Nakumbuka wakati niko shule nilizushiwaga nadate na mwalimu wa physics ile skendo ilinitesaga sana nilifikia hatua hadi nikawa najifelisha makusudi maana nilikua nikifaulu tu watu wanasema nimevujishiwa paper,, toka nimeenda shule msosi wa shule nilikua sili ila ikafikia hatua ilibidi nianze kula tu hatakama situmii malage na sipendi kande maana ilikua nikinunua hata chips wanasema hela nimehongwa na mwalimu, nilikuaga kiongozi lakini ikabidi nijihudhuru tu maana ilikua nikisimama assembly hata kutangaza naona kama shule nzima inanizomea...iliniumiza na kunitesa sana kisaikolojia ukizingatia na mwalimu mwenyewe alikua mkali hata kuanza kumuuliza naogopa naanzia wapi,, nilimwomba mzee anihamishe shule alikataa hadi nikatamani nitoroke.. Nilikuja kujifunza baadae sana kwamba inabidi uishi tu maisha ya kawaida ambayo almost kila mtu anaishi maana ukijiweka tofauti tu watu wanaanza kufanya assumptions za kipuuzi
Pole sana
 
Kusingiziwa nimeiba nguo walipoikuta kwa MTU mwingine hawakuniambia maana walijua nitawavutia bangi sikuhiyo...siku ya kuagana tunamaliza chuo ndiyo wananiomba msamaha ati tuliikuta...hata sikuwajibu kitu😠
Ungewapiga hata kofi mojamoja 🤕🤕🤒🤒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom