Usiyoyajua kuhusu Warumi

warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,483
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,483 2,000
1. Kiuhalisia Mimi ni mpole sana na Nina aibu, sio muongeaji kabisa, mpaka nikuzoee sana.

2. Japokua huwa napost sana kwenye jukwaa la celebrities, ila Mara nyingi napenda zaidi kusoma threads kutoka jukwaa la jamii intelligence kuliko celebrities forum .

3. Mara chache sana huwa nacomment kwenye thread za watu wengine humu C.F , sijui ni kwa nini , Ila huwa najisikia raha sana ku comment kwenye thread ninazoanzisha mwenyewe

4. Sina bifu na hance mtanashati au na mtu yeyote Yule ambaye anapost habari humu celebrities forum , kwa sababu Mimi naona kazi zangu zinapendwa zaidi mpaka nashindwa wa kujifananisha nae.

5. Endapo ikatokea tukapishana kauli na mtu kwenye uzi flani, huwa sina tabia ya kuweka kinyongo kabisa , Mimi huwa nasahau sana na mwepesi kusamehe.

6. Watu ambao Nina wakubali na kuwaeshimu sana humu jf ni Heaven on Earth lusungo mshana @ rakhims pasco Mama Sabrina @ heaven sent @ mrembo by nature @ matola @ mzizi mkavu @ nyani ngabu Evelyn Salt, na wambea wenzangu wote, majina ni mengi , siwezi Maliza yote humu .

7. Swali ambalo limekua likileta utata sana humu jukwaani ni jinsia yangu , niseme tu kwa hapa nimeweza kucheza na akili za watu wengi mno na kuwapa utata juu ya jinsia yangu, nadhani ni kipaji tu na ubunifu vinamifanya niweze ku switch na kucheza na hizi jinsia mbili na kuleta utata kwa watu , na nimalizie kwa kusema suala la jinsia litabaki kuwa siri yangu kwa sasa

8.huwa sina marafiki kabisa kwenye maisha yangu ya kawaida , hivyo natumia jamii forum na app nyingine kwa ajili kubadilisha mawazo.

9. Sina ndoa

10. Ni Mtanzania / mkenyaHaya wanazengo mnaweza kuongeza na maswali mengine ya maana , kama kweli unatak kumjua warumi wa halisi. Nitajaribu kuwajibu wote watakaouliza maswali ya maana tu , pia ushauri unakaribishwa.
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,012
Points
1,500
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,012 1,500

Je unaye mchumba?
 
Kimwerymdodo5

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Messages
647
Points
1,000
Kimwerymdodo5

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2019
647 1,000
We ni KE,ukibisha jinyonge.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
8,476
Points
2,000
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
8,476 2,000
warumi kwanini unahisi watu wanataka kukujua humu?huu ni uzi wako wa pili naona unaandika kuhusu kuulizwa maswali yanayokuhusu

No offence but kama unataka watu wakujue kiasi hiko...weka picha yako
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,789
Points
2,000
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,789 2,000
warumi kwanini unahisi watu wanataka kukujua humu?huu ni uzi wako wa pili naona unaandika kuhusu kuulizwa maswali yanayokuhusu

No offence but kama unataka watu wakujue kiasi hiko...weka picha yako
Ukute keshasahau kama aliweka uzi si unajua umbea mwenzanguuu
 
Heaven Sent

Heaven Sent

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Messages
19,684
Points
2,000
Heaven Sent

Heaven Sent

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2013
19,684 2,000
Haha ahsante mmbea uliyetukuka Africa mashariki na kati. Hivi binamu bado unalalaga kwenye misiba kutafuta umbea? Yani unanikumbusha enzi zako unachambwa mfululizo hadi unajikuta unajiqoute na kujichamba mwenyewe mweeh
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
2,516
Points
2,000
Age
97
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
2,516 2,000
Binam umesahau kunitaja!
Mie nimekuelewa hasa uliposema huna marakifi na kuhusu kupenda sana jukwaa la Intelligence!
Big up sana!
 
Simon Adebisi

Simon Adebisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2018
Messages
347
Points
500
Simon Adebisi

Simon Adebisi

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2018
347 500
Mi napend kujua historia ya jin lako tu... why WARUMI ?
 
Forum statistics

Threads 1,294,203
Members 497,843
Posts 31,168,166
Top