Usiyoyajua kuhusu Tundu Antipas Mughwai Lissu

Ni watu wachache sana watakao amini na kudhamini mambo ambayo yametendwa na Lissu

Mungu azidi kumuimarisha na afya yake irejee mara arudi kupambania haki za watanzania
 
Je! wajua Tundulisu alisema serikali ya Tanzania itaburuzwa mahakamani na Accacia.
Je! wajua tundulisu ndiye aliye andaa waraka wa mafisadi na baadae kulamba viatu vya maMvi na kumkaribisha Chadema uku akidai maMvi si fisadi.
Je! Wajua Lisu na Lema ndio waliokua wakishinikiza Zito na Kundi linalo muunga mkono Zito Lifukuzwe kisa lina ajenda za ku mweka Zito madarakani awe mwenyekiti wakati yeye Lisu ni swahiba mkubwa wa DJ mpenda totoz.
Je! wajua ukiwatendea watu ubaya nawewe yatakukuta mabaya hapa duniani.
 
Pia ni mtu pekee Afrika ambaye alirushiwa risasi zaidi ya 30 na bado akapona kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
 
Leo asubuhi nimeaka na mawazo kama haya tofauti kidogo nikiwaza ingekuwa mmbunge yoyote wa CDM kavuliwa ubunge kwa situation yake. Tundu Lissu sasa hivi angekuwa keshafungua kesi ya pingamizi.
Sasa mbona yeye hana mutetezi ndani ya Chadema?
 
Hebu taja hata tusi moja wewe unaloliona ni tusi ili tulipime kama ni tusi maana mumekazana anatukana anatukana lakini tukiwauliza ni matusi yepi katusi hamsemi
 
Nimeyaandika ukutani yasifutike.
Pia nimeelewa sasa sababu za yote yaliyotokea kwenye hiyo namba 11.
 
sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
Peter Zakaria aliwaweka wazi. Nini kilifanyika dhidi ya hao unaodai hawajulikani ?!. Wanajulikana sema mapenzi yamekupofusha
 
sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
Magufuli amethibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kuiongoza nchi
 
sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
Tatizo upinzani wanalazimisha polisi iseme ni serikali.
 
Kanywe nae chai
 
Mungu ambariki sana huyu Brother. Amefanya mengi kwa ajili ya raia wanaoonewa nchini.
 
Lissu ni Madiba wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…