Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,422
Badala ya ku draw the line kuwa jamaa ni muongo si angalau kama ungejishughulisha kujua huo muda ni kwa root ipi?Acha uongo wewe, Dar to Amsterdam (Netherlands) ni masaa tisa. Kama hujasafiri tuulize tuliosafiri
Kwani roor ni moja tu ya hayo masaa 13?
Hata safari ya kwenda mwanza kwa ndege ni either saa moja au mawili kutegemeana aina ya ndege utakayotumia.