Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
God Made Dutch and Dutch Made Holland!!!!


1. Ni nchi ya kwanza kugeuza eneo la bahari kuwa eneo la makazi (Land Reclamation)


2. Nchi Inayoongoza kwa kuwa na watu warefu zaidi duniani, wastani wa urefu wa wanaume ni sm 184 (karibu mita 2) ilihali wanawake ni sm 170

3. Nchi ya Kwanza Duniani Kuhalalisha Ushoga Mnamo Mwaka 2001

4. Nchi Yenye Idadi Kubwa ya Baiskeli Kuliko Hata Idadi ya watu, sensa ya mwisho inaonesha nchi hiyo ina Baiskeli milioni 18 sawa na zaidi ya baiskeli moja kwa kila raia

5. Nchi ambayo imehalalisha haramu nyingi kiasi cha kuwafanya watu wawe huru sana na hivyo kupunguza kama si kuondoa wafungwa kabisa. Hii ni nchi pekee ambayo imelazimika kuazima wafunwa toka mataifa mengine maana jela zao zipo tupu


6. Nchi ambayo wanawake hufurahia maisha kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa kupewa kipaumbele cha kwanza, wakifuatiwa na mtoto, Mbwa, Baiskeli na Mwanaume kipaumbele cha mwisho

7. Nchi yenye maduka ya ngono (sex shops) na vioski huru vya kuvutia bangi (maarufu kama coffee shops) ambapo unaingia na kuvuta bangi utakavyo kisha unarudi kitaa...yaani ukiingia coffee shop unakutana na menu za bangi tu

8. Miongoni mwa nchi maarufu kwa starehe duniani kwani licha ya kuongozwa kwa unywaji wa pombe yao maarufu ya Heineken pia inachagizwa na kauli mbiu ya S 3 (SAND, SUN AND SEX)


9. Nchi inayoongoza kwa unywaji wa kahawa duniani (wastani wa vikombe 3 kwa siku kwa mtu) sababu ni kwamba licha ya baridi kahawa inawafanya wasilale ili waendelee na starehe
The-feminismhappiness-axis.jpg

10. Likizo ya uzazi ni siku 57 na inaweza kuchukuliwa muda wowote hadi mtoto anapofikisha miaka 8!!
 
Mashariti yake ya visa yapoje, kwenda kutembea, pia bei ya chini ya hotel?
 
You and the Netherlands
Are you planning on visiting, living, working, or studying in the Netherlands? Familiarise yourself with all this country has to offer you.

This section contains general information about the Netherlands from statistics and weather to detailed articles on the country’s government, history, society and customs.

If you’re coming to the Netherlands or have just arrived, see also the information on living, working and studying in the Netherlands, tourism, and family visits.


Mashariti yake ya visa yapoje, kwenda kutembea, pia bei ya chini ya hotel?
 
vipi kuhusu ufisadi siokama bongo
The National Integrity System Assessment 2012, published by Transparency International Netherlands, reports that the country has established strong pillars—an independent judiciary, effective anti-corruption mechanisms and a culture of trust—that all combine to create a society where corruption is not considered a serious problem.
 
vipi kuhusu ufisadi siokama bongo
The Netherlands is a global leader in the area of Corporate Social Responsibility (CSR), and that most companies operating the Netherlands have established a code of conduct as well as internal mechanisms to detect and prevent bribery.[3]
 
USIYOYAJUA KUHUSU TAIFA LA UHOLANZI (HOLLAND) au Netherlands

God Made Dutch and Dutch Made Holland!!!!

>1. Ni nchi ya kwanza kugeuza eneo la bahari kuwa eneo la makazi (Land Reclamation)

>2. Nchi Inayoongoza kwa kuwa na watu warefu zaidi duniani, wastani wa urefu wa wanaume ni sm 184 (karibu mita 2) ilihali wanawake ni sm 170

>3. Nchi ya Kwanza Duniani Kuhalalisha Ushoga Mnamo Mwaka 2001

>4. Nchi Yenye Idadi Kubwa ya Baiskeli Kuliko Hata Idadi ya watu, sensa ya mwisho inaonesha nchi hiyo ina Baiskeli milioni 18 sawa na zaidi ya baiskeli moja kwa kila raia

>5. Nchi ambayo imehalalisha haramu nyingi kiasi cha kuwafanya watu wawe huru sana na hivyo kupunguza kama si kuondoa wafungwa kabisa. Hii ni nchi pekee ambayo imelazimika kuazima wafunwa toka mataifa mengine maana jela zao zipo tupu

>6. Nchi ambayo wanawake hufurahia maisha kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa kupewa kipaumbele cha kwanza, wakifuatiwa na mtoto, Mbwa, Baiskeli na Mwanaume kipaumbele cha mwisho

>7. Nchi yenye maduka ya ngono (sex shops) na vioski huru vya kuvutia bangi (maarufu kama coffee shops) ambapo unaingia na kuvuta bangi utakavyo kisha unarudi kitaa...yaani ukiingia coffee shop unakutana na menu za bangi tu

>8. Miongoni mwa nchi maarufu kwa starehe duniani kwani licha ya kuongozwa kwa unywaji wa pombe yao maarufu ya Heineken pia inachagizwa na kauli mbiu ya S 3 (SAND, SUN AND SEX)

>9. Nchi inayoongoza kwa unywaji wa kahawa duniani (wastani wa vikombe 3 kwa siku kwa mtu) sababu ni kwamba licha ya baridi kahawa inawafanya wasilale ili waendelee na starehe

>10. Likizo ya uzazi ni siku 57 na inaweza kuchukuliwa muda wowote hadi mtoto anapofikisha miaka 8!!


HII NDIO UHOLANZI, THE ORANGE COUNTRY
 
Duh wanaazima wafungwa?
hakuna majambazi huko?
 
Facts indeed from Dar to Netherlands is almost 13 hrs by flight , ukitoka Dar huwezi fika Sweeden direct bila kupita Uholanzi Na ndege yenyewe Ni KLM.
 
Back
Top Bottom