Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

ukubwa wake ni kama mkoa wa kagera tu
 
Kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa iweje urudie makosa yaleyale ambayo uligundua baraza walikosea state fact based on facts and nobody will dare to criticize you ndio maana watu wana appeal matokeo yakitoka tofauti na facts samahani kwa kukuita mbulula lakini .mkuu
Kaka hili swali tulilikuta na lilikuwa likiendelea kutoka, sio kwamba lilitoka mwaka wetu tu hata waliotutangulia walikuwa wanasema linatoka na mwaka wetu lilitoka na hata tulipofika mbele tena nikasikia waliokuwa chini yetu wanalirudia sasa kama ni makosa ni baraza la mitihani, kurudia rudia umburula kila mwaka
 
Hiyo namba 6 ni uongo uliokubuhu. Hadi mbwa na baiskeli zina thamani kuliko mwanaume? Wewe mleta mada uwe unachanganya akili zako kwenye kuleta habari kuliko "copy n paste"
 
Acha uongo wewe, Dar to Amsterdam (Netherlands) ni masaa tisa. Kama hujasafiri tuulize tuliosafiri
Kama Ni direct flight Ni masaa 9 ila Dar to Stockholm via Amsterdam Ni 13 hrs. Alafu Mimi siulizi waliosafiri Bali Mimi mwenyewe ndugu Asante. Karibu Scandinavia countries.
 
Kama Ni direct flight Ni masaa 9 ila Dar to Stockholm via Amsterdam Ni 13 hrs. Alafu Mimi siulizi waliosafiri Bali Mimi mwenyewe ndugu Asante. Karibu Scandinavia countries.
Mmepishana kidogo mkuu. Mkaribishe ajue ww ni mwenyeji huko
 
ndio kusema madayasiporasi wanaoishi YUESIEI ni wachumba tu mbele ya madayasiporasi wanaoishi oholanzi.
 
Acha uongo wewe, Dar to Amsterdam (Netherlands) ni masaa tisa. Kama hujasafiri tuulize tuliosafiri
Teh teh mkuu inawezekana jamaa kaenda na Gulf stream yake na siyo lazima iwe na cruising speed ya Airbus a380 ndio maana jamaa katumia 13hrs JNIA to Amsterdam
 
e
Teh! nahisi itakuwa bei ndogo sana kunjunja malaya wa huko.
euro 50 bao blonde,ila wabrazil na waswahili pia wachina unaweza gonga mpk 35.bei inazidishwa kuendelea na huduma.km massage tu.
 
Hakuna watu wanaofuata sheria duniani kama waholanzi. Ukitaka kubadilisha mwonekano wa bafu yako lazima upate kibali cha manispaa. Ukitaka kupunguza matawi ya miti kwenye garden yako mpaka manispaa waridhie

Om
 
Basi huko hakuna raha yoyote kama kila kitu kimehalalishwa.... kwa kawaida utamu wa kitu kiwe cha kuibia.. I mean kiwe kimepigwa marufuku hahahaaa..

Kweli the hotter the battle the sweeter the victory...! Hata mimi huwa napenda saana kupata ishu yeyote kwa magumashi na ndipo vibe ya life inapopatikania...easy come easy go bhaana.
 
Isanga famili, Gillbiz, Adili a.k.a Hisabati, Ikunga Crazy Power a.k.a CP a.k a CPwaa, Kwaxer King, Dr./ Chancellor Wise, Uswahilini Matola, Soggy Doggy Anter, Drazy Chief, Dika Shap, San Jacko, Too Proud, BBG, Dj Ayeya, long time madisco ya Loleza
I miss you.
 
huko Uholanzi si ndo malaya wanalipa kodi kwa hiyo business ya kuuza nyapu
 
Back
Top Bottom