NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Wanaume wa Tanzania any comment on thisNi Nchi ambayo wanawake hufurahia maisha kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa kupewa kipaumbele cha kwanza, wakifuatiwa na mtoto, Mbwa, Baiskeli na Mwanaume kuwa kipaumbele cha mwisho.
haa ww jamaa,,kwenye hiyo nchi kuna sifa nyiingi zimeelezwa bangi,baiskeli,likizo,ushoga n.k.
Kumbe basi ni mpanda baiskeli maarufu maana ni muoga sana kupanda ndege. Kuna mshikaji wangu kakimbia huko kisa mijaaa ilikuwa inamnyatia kila mara just imagine unakutana na jitu kama Vitgil van Liverpool mkunyenge wake halafu linakutaka mwanaume. Umesahau kuongelea vile visiwa ambavyo akina Kluvert na Gulit wametokea huko na pia jamaa ni wabaguzi sana hawa.haa ww jamaa,,kwenye hiyo nchi kuna sifa nyiingi zimeelezwa bangi,baiskeli,likizo,ushoga n.k.
lkn ww mbona umekimbilia kuuliza kama huyu jamaa ni shoga ? kwa nini!!,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mashoga na makhursa tofauti yao sio kubwa eti?Hiyo ya ushoga imeharibu kila kitu.
bwashee ulaya yote inanuka kinyesi ni hatari kwa kweli,roho zinawauma sana kuona africa ipo mbali na ushoga.Hiyo ya ushoga imeharibu kila kitu.
Kuna tofauti ya maana kweli hapa ?uholanzi ni wa DUTCH, ila wajerumani ni wa DEUTSCH..
Vp musee umeona opportunity nini?Duh wanaazima wafungwa?
hakuna majambazi huko?
About 7 hrs flying non stop.fika
Vip wanasemaje hapo Amsterdam.....ngoja nifanye mpango wa visa niende zangu huko uholanzi nikatulie mpaka 2020 nakuja kuchungulia kama bado naenda zangu eritrea nikajitwalie vimwana wazuri mpaka 2025 narudi tena bongo!!!! Ccm wakiingia tena madarakani nahama kabisa na uraia!!!
Waholanzi wanapakana na Ujerumani kwa upande was mashariki.Ila hawa jamaa wanahusiana sana kama sio walewale