Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

Usiyoyajua kuhusu Taifa la Uholanzi (Netherland)

Facts indeed from Dar to Netherlands is almost 13 hrs by flight , ukitoka Dar huwezi fika Sweeden direct bila kupita Uholanzi Na ndege yenyewe Ni KLM.

Acha uongo wewe, Dar to Amsterdam (Netherlands) ni masaa tisa. Kama hujasafiri tuulize tuliosafiri
 
karatasi kwa wasafiri ni vibali vya kuishi na kuruhusiwa kufanya kazi huko...kibali cha ukazi ughaibuni vijana huita karatasi..nchi nyingi ukioa au kuolewa nawe unapata kibali lakin kuna baadhi ya nchi hicho sio kigezo..
Isanga famili, Gillbiz, Adili a.k.a Hisabati, Ikunga Crazy Power a.k.a CP a.k a CPwaa, Kwaxer King, Dr./ Chancellor Wise, Uswahilini Matola, Soggy Doggy Anter, Drazy Chief, Dika Shap, San Jacko, Too Proud, BBG, Dj Ayeya, long time madisco ya Loleza
 
Nakumbuka kuna swali nilikumbana nalo form 2 kuhusu mambo ya land reclamation likisema, God made german but the germans made holland, discuss,
Wewe ulienda shule kukua aisee sijapata ona mtu mbulula kama wewe samahani lakini
 
Facts indeed from Dar to Netherlands is almost 13 hrs by flight , ukitoka Dar huwezi fika Sweeden direct bila kupita Uholanzi Na ndege yenyewe Ni KLM.
USIYOYAJUA KUHUSU TAIFA LA UHOLANZI (HOLLAND) au Netherlands

God Made Dutch and Dutch Made Holland!!!!

>1. Ni nchi ya kwanza kugeuza eneo la bahari kuwa eneo la makazi (Land Reclamation)

>2. Nchi Inayoongoza kwa kuwa na watu warefu zaidi duniani, wastani wa urefu wa wanaume ni sm 184 (karibu mita 2) ilihali wanawake ni sm 170

>3. Nchi ya Kwanza Duniani Kuhalalisha Ushoga Mnamo Mwaka 2001

>4. Nchi Yenye Idadi Kubwa ya Baiskeli Kuliko Hata Idadi ya watu, sensa ya mwisho inaonesha nchi hiyo ina Baiskeli milioni 18 sawa na zaidi ya baiskeli moja kwa kila raia

>5. Nchi ambayo imehalalisha haramu nyingi kiasi cha kuwafanya watu wawe huru sana na hivyo kupunguza kama si kuondoa wafungwa kabisa. Hii ni nchi pekee ambayo imelazimika kuazima wafunwa toka mataifa mengine maana jela zao zipo tupu

>6. Nchi ambayo wanawake hufurahia maisha kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa kupewa kipaumbele cha kwanza, wakifuatiwa na mtoto, Mbwa, Baiskeli na Mwanaume kipaumbele cha mwisho

>7. Nchi yenye maduka ya ngono (sex shops) na vioski huru vya kuvutia bangi (maarufu kama coffee shops) ambapo unaingia na kuvuta bangi utakavyo kisha unarudi kitaa...yaani ukiingia coffee shop unakutana na menu za bangi tu

>8. Miongoni mwa nchi maarufu kwa starehe duniani kwani licha ya kuongozwa kwa unywaji wa pombe yao maarufu ya Heineken pia inachagizwa na kauli mbiu ya S 3 (SAND, SUN AND SEX)

>9. Nchi inayoongoza kwa unywaji wa kahawa duniani (wastani wa vikombe 3 kwa siku kwa mtu) sababu ni kwamba licha ya baridi kahawa inawafanya wasilale ili waendelee na starehe

>10. Likizo ya uzazi ni siku 57 na inaweza kuchukuliwa muda wowote hadi mtoto anapofikisha miaka 8!!


HII NDIO UHOLANZI, THE ORANGE COUNTRY

Kwa mantiki ya kuhalalisha dhambi hadharani kama kwenye reds of Amsterdam, ninachelea Mungu anakwenda kuzamisha ka kisiwa kote kwa kuharibu mfumo wao wa kusukuma maji na hivyo kufanya level ghafla bila nafasi ya kujiandaa. Na hapo ndipo itakuwa mwisho wa hiyo Sodoma ya uholanzi.

Inakera hadi kupita maelezo.
 
poa mjanja, kwani kosa langu ni lip? bangi za asubuh ni mbaya achana nazo tu, na hio elimu yako ni ya wap iliyokufundisha kutukana?
ndio sometime kuna thread hazikuhusu unajilazimisha tu kuchangia.kaa bongo sijui hata kama ulishawahi kupanda ndenge hata za mikoani.


swissme
 
Wewe ulienda shule kukua aisee sijapata ona mtu mbulula kama wewe samahani lakini
Sawa kaka mie ni mburula lakini mburula zaidi walikuwa ni baraza la mitihani, kwani hilo swala liko kwa paper za mitihani ya form 2 na liliwahi toka miaka ya 90, sijakurupuka, basi na baraza la mitihani nao walikuwa ni mamburula, na wao ndo waliolitunga na kuliweka kwa mitihani ya form 2, tena mitihani ya taifa, hivyo unavyosema mie mburula unakosea ni baraza la mitihani ndio mamburula, samahani kwa hilo
 
Umbulula wake upo wapi hapo aina ya mtamshi yanaakisi na kiwango cha upeo wako hakika unamatatizo
Masaa 13 nahisi alipitia dubai au qatar lakini sio one way from dar to amsterdam, oneway ni 9hrs
 
Hiyo namba 6, sio mchezo!

Yaani mwanaume thamani ya mwisho zaidi ya baiskeli na mbwa...!
 
Isanga famili, Gillbiz, Adili a.k.a Hisabati, Ikunga Crazy Power a.k.a CP a.k a CPwaa, Kwaxer King, Dr./ Chancellor Wise, Uswahilini Matola, Soggy Doggy Anter, Drazy Chief, Dika Shap, San Jacko, Too Proud, BBG, Dj Ayeya, long time madisco ya Loleza
Mastiff,Mr Mature, Biz Bab, Wise Dog,Big Dog Pose, San Jacko ha hahaa Samadoo Jah......!
 
Basi huko hakuna raha yoyote kama kila kitu kimehalalishwa.... kwa kawaida utamu wa kitu kiwe cha kuibia.. I mean kiwe kimepigwa marufuku hahahaaa..
 
Masaa 13 nahisi alipitia dubai au qatar lakini sio one way from dar to amsterdam, oneway ni 9hrs
Nadhani amehesabu kutoka dar hadi Sweden maana pia alifikiria huwezi fika Sweden bila kupitia Amsterdam,
 
Sawa kaka mie ni mburula lakini mburula zaidi walikuwa ni baraza la mitihani, kwani hilo swala liko kwa paper za mitihani ya form 2 na liliwahi toka miaka ya 90, sijakurupuka, basi na baraza la mitihani nao walikuwa ni mamburula, na wao ndo waliolitunga na kuliweka kwa mitihani ya form 2, tena mitihani ya taifa, hivyo unavyosema mie mburula unakosea ni baraza la mitihani ndio mamburula, samahani kwa hilo
Kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa iweje urudie makosa yaleyale ambayo uligundua baraza walikosea state fact based on facts and nobody will dare to criticize you ndio maana watu wana appeal matokeo yakitoka tofauti na facts samahani kwa kukuita mbulula lakini .mkuu
 
Back
Top Bottom