Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,715
- 167,726
Ukigonga mbunye na kujaribu kutoilipia lazima ukwende kwa jela, wewe ni ri jambasi kurarararekiDuh wanaazima wafungwa?
hakuna majambazi huko?
Ukigonga mbunye na kujaribu kutoilipia lazima ukwende kwa jela, wewe ni ri jambasi kurarararekiDuh wanaazima wafungwa?
hakuna majambazi huko?
Teh! nahisi itakuwa bei ndogo sana kunjunja malaya wa huko.Ukigonga mbunye na kujaribu kutoilipia lazima ukwende kwa jela, wewe ni ri jambasi kurararareki
uholanzi ni wa DUTCH, ila wajerumani ni wa DEUTSCH..Nataka kujua uholanzi wana uhusiano gani na wajeruman maana na wajerumani wanajiita wadutch pia.
Germany??????Nakumbuka kuna swali nilikumbana nalo form 2 kuhusu mambo ya land reclamation likisema, God made german but the germans made holland, discuss,
Sio lazima upitie Netherland mkuu ili kufika Arlanda, unapita hapo kama tu utapanda Kenya airways au KLM, lakini njia za kupita ili kufika Sweden ziko kibao ni wewe tu na uamuzi wako, kutokana na nauli yako au ndege uliyochagua kusafiri nayo, unaweza kupitiaZurich, Doha, Adis ababa, Abu dhabi, Dubai, Istanbul hapo nimejaribu kukutajia kwa uchacheFacts indeed from Dar to Netherlands is almost 13 hrs by flight , ukitoka Dar huwezi fika Sweeden direct bila kupita Uholanzi Na ndege yenyewe Ni KLM.
Vipi ujira uko vzr kwa wafanyakazi?Na wabongo wengi walioko kule wanafanya kazi kwenye mashamba kuvuna strawberry...Wengi wao wakiwa wana hold Masters.
Si mbaya saaana miaka 2 iliyopita ilikuwa dollar 2000 mpaka 4000 kwa mwezi kulingana na shamba ulilopata kaziVipi ujira uko vzr kwa wafanyakazi?
Ok sawa nimetaja njia ambayo Ni common hasa kwangu mie.Sio lazima upitie Netherland mkuu ili kufika Arlanda, unapita hapo kama tu utapanda Kenya airways au KLM, lakini njia za kupita ili kufika Sweden ziko kibao ni wewe tu na uamuzi wako, kutokana na nauli yako au ndege uliyochagua kusafiri nayo, unaweza kupitiaZurich, Doha, Adis ababa, Abu dhabi, Dubai, Istanbul hapo nimejaribu kukutajia kwa uchache
Ila hawa jamaa wanahusiana sana kama sio walewaleuholanzi ni wa DUTCH, ila wajerumani ni wa DEUTSCH..