Usiyoyajua kuhusu OCD Zuberi Mwombeji

user-online.png
mpinga shetani
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    [URL="http://www.jamiiforuwe unaona post nyingi humu jf ndio ujanja? Anaweza kuwa na post 29 ila zote za maana... We waweza kuwa nazo nyingi ila zote zinaelezea masaburi yako.
 
OCD Zuberi ni mtu makini anaefanya zake kwa umakini mkubwa kwa misingi ya sheria na utawala bora..

Kama suala la nyumba, mbona Mbowe anadaiwa na NSSF leo mwaka wa 10

Hongera OCD Zuberi
 
Hii mbona imekuja baada ya Lema kujiweka ndani? ulikuwa wapi siku zote? siasa maji taka!


na mala nyingi mabaya hutokea pale ufanyapo baya,hata wewe unaweza jifanya kama tembo huonekani kwa kujificha ktk shamba la karanga,lakini watu wanakuona na wataweka wazi yote uliyofanya
 
Naskia kuna mtu anaitwa simba mzee anampango wa kuchukua nchi anataka kuleta mageuzi na kuifufua tanzania iliokufa...tusubiri watu kama hawa kina zuberi ndo watafunzwa vizuri
 
Kwa Kumdhalilisha Lema kwa sababu ni Mbunge wa Upinzani haya ni mambo yamezoeleka kwa kanda ya Kaskazini. Msisahau Mh MREMA alivyokuwa akipigwa MABOMU wakati ule NCCR Mageuzi kule moshi hadi ikapelekea Mrema kulazwa Hospital na OCD wa Mkoa wa Kilimanjaro akapata SHUKRANI ya kuteuliwa kuwa IGP wa Tanzania. huyo OCD anayepiga Wana Arusha Mabomu si ajabu mkasikia naye ni IGP mpya wa BONGO. Wakati mwingine Historia hujirudia. Pole Mheshimiwa Lema na WanaArusha mjini kwa Ujumla. Hata mkiitwa Panya huyo OCD anaweza asifanywe lolote. Kumbukeni kilio chenu cha KUPORWA Meya wa JIJI LENU na kupewa mwingine peupe hadi leo hakuna kitu.
 
user-online.png
mpinga shetani


Today 19:44
#1
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 21st November 2010
Location : Tanzania
Posts : 29
Rep Power : 0
Mpinga Shetani kama JF kungekuwa na tuzo ya mtu aliyekaa muda mrefu bila kupost bila ya shaka ingekuja kwako yaani toka 2010 una post 29 tu!
Achana na hilo, bila ya shaka saizi ni wakati wa serikali kumhamisha OCD Zuberi Arusha kwani ni wazi hakubaliki tena na jamii ya watu wa Arusha. Endapo hili halitachukuliwa hatua ni imani yangu migogoro Arusha haitaisha.
Uwingi wa Posts si......................
Hebu angalia FaizaFox amejiunga lini na ana Posts ngapi na ngapi zina mshiko.
 
Naskia kuna mtu anaitwa simba mzee anampango wa kuchukua nchi anataka kuleta mageuzi na kuifufua tanzania iliokufa...tusubiri watu kama hawa kina zuberi ndo watafunzwa vizuri
Mkuu naomba nifafanulie hii sijaipata vizuri, simba mzee ni nani na atachukua nchi kivipi, japo nahisi kama ipo siku CCM itatoka madarakani kwa mtutu wa bunduki
 
Hii mbona imekuja baada ya Lema kujiweka ndani? ulikuwa wapi siku zote? siasa maji taka!

Tumia akili yako acha kusumbua watu we unataka mtu akipata taarifa wakati wowote asiipost kwa kuwa lema yuko ndani mbona we ni mtumwa huru na hujioni
 
Back
Top Bottom