Usiyoyajua kuhusu nchi ya Japan

Usiyoyajua kuhusu nchi ya Japan

Japan husherehekea sikukuu ya mb** watu hula ice cream zenye umbo la mb** kila kitu huwa mfano wa mb** hiyo siku, pia japan wasichana hufundishwa jinsi ya kumaliza ashki bila kutumia vile viungo rasmi, huwa wanatekenyana ktk vinganja vya mikono hadi wanamaliza, hili ni somo ha hufanyika ktk sehemu za wazi kbsa...
 
ni kawaida hata ulaya pia kuna baadhi ya nchi wana iyo issue kuna miaka hasa serikali ikibana matumizi (tax nyingi) insurance zinakuwa ghali
na mindset za watu pia wanaona kuwa na watoto ni issue unakuta wanaozaliwa ni wachachee ndo gape linapotokea hapo
kuna issue za magonjwa kwa mfano ule uliowakumba Brazil last yr ( nimesahau jina) watoto wanazaliwa hawako normal
Zika
 
Japan husherehekea sikukuu ya mb** watu hula ice cream zenye umbo la mb** kila kitu huwa mfano wa mb** hiyo siku, pia japan wasichana hufundishwa jinsi ya kumaliza ashki bila kutumia vile viungo rasmi, huwa wanatekenyana ktk vinganja vya mikono hadi wanamaliza, hili ni somo ha hufanyika ktk sehemu za wazi kbsa...
Inakuaga April
 
Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:-

1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852.

2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na idadi ya watu 127 million.

3. 53.5 % ya eneo lote Japan ni milima. Eneo linalofaa kwa makazi ya watu ni 13%

4. Vijana (0 - 14 yrs) ni 12.8% na (15-64yrs) ni 61.3%. Wazee/watu wazima ni wengi kuliko vijana.

5. Japan ina changamoto za sunami, mvua kubwa, mafuriko, tetemeko la ardhi na maeneo mengi kuganda na barafu

6. Japan haina Rais, ina Waziri Mkuu na Wizara zake 11

7. Japan ina miji 745 , majiji 770 na vijiji 183

8. Serikali kuu ina wafanyakazi 0.64 million na serikali za mitaa ina wafanyakazi 2.74 million

9. Asilimia 53.5 ya wanaomaliza vidato vya juu hujiunga na vyuo vikuu

10. Wanafunzi wa Olevel ambao hufaulu na kuingia high school n 98.2%

11. Vitabu, ada n bure kwa wanafunzi wrote

12. Asilimia 100 ya watoto wanaomaliza shule ya msingi hujiunga na masomo ya kidato cha kwanza

13. Japan n nchi ya 2 kwa utajiri duniani

14. Japan haizungumzii elimu, barabara, nishati, usafiri, madawa, vyakula etc

15. Japan hakuna malaria wala dawa za malaria.

16. Kukumbatiana, kuhagi, kumshika mtu bega, mikono, kumwangalia mtu sanaaa, kutongoza, kuongea na simu kwenyr mhadhara au mbele za watu hairuhusiwi.


Kwa leo ni hayo tu, kama una swali uliza nikujibu.
Sugoi!? Arigato goza imashita
 
Hiyo Ilikuwa 1971 iliundwa kwA ajiri ya kuendesha uchumi wa dunia. As US owned 1/2 of world gold then wafanyabiashara wake France, German, UK, Japan wakasema kwakua una own 1/2 ya gold in the world basi Currency yako(USD) itumike Katika exchange na hela zetu kwA thaman na utajiri. US akapendekeza kumuongeza Canada na EU wao wakamuweka Italy then wakawa US, UK, France, German, Italy, Canada na Japan as G7. At that time baadae Russia akajiunga ikawa G8 figisufigisu Russia akatoka sasa malengo ya G7 as economic group likawa advantage ya kisiasa kwA G7 members kwamba tunakopeshana hela kuendeleza Nchi zetu tutalipana baadae thus why US ana madeni. Yakapatikana maslahi Middle East hizi crisis na ugaidi kwA Nchi za kiarabu basi G7 Kutoka kuwa economic ikawa political kushughulikia masuala ya ugaidi wa Middle East... EU ikasema Middle East crisis haiwezi kuisha bila Russia kuwepo G7 inabidi 2017 tumushawish awepo sababu nae anabomb Middle East...China habomb Middle East Wala hana maslahi Wala biashara pale Kwahiyo China hahusiki labda akaribishwe kwa kuwapa Ushauri. Again ni hivi mwenye strong democracy ndo anaingia G7 sasa china hana strong democracy hence hawezi kuona kibanzi kwa ndugu yake wakati haliangalii boriti jichoni mwake.
...kwa kuongezea hapo ni kwamba, G7 ni nchi tajiri zaidi wakati G8 ni nchi zilizoendelea kwa viwanda (hapo unamwongeza Urusi kwny Group of 7)
 
Back
Top Bottom