Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Ndio Emperor AKIHITOSasa kama ulikuwa hujui Japan kuna mfalme Akihito
Wanatumia Unitary Parlianmentary Constitutional Monarchy
Ndio Emperor AKIHITOSasa kama ulikuwa hujui Japan kuna mfalme Akihito
Wanatumia Unitary Parlianmentary Constitutional Monarchy
ni kawaida hata ulaya pia kuna baadhi ya nchi wana iyo issue kuna miaka hasa serikali ikibana matumizi (tax nyingi) insurance zinakuwa ghaliHiyo namba 4 nimeshindwa kuelewa wazee wanakuaje wengi kuliko vijana wakati ukijumlisha % 0-14 na 15-64 unapata asilimia 70 na ushee?
ivi kigezo kikubwa cha G7 ni niniSiyo ya pili , ni ya tatu
1. USA $17.95trillion
2.China $11.7tr
3.japan $5.5tr
4.German
5.Uk
6.france
7.Brazil
8.Canada
9.Italy
10.India
Hiyo Ilikuwa 1971 iliundwa kwA ajiri ya kuendesha uchumi wa dunia. As US owned 1/2 of world gold then wafanyabiashara wake France, German, UK, Japan wakasema kwakua una own 1/2 ya gold in the world basi Currency yako(USD) itumike Katika exchange na hela zetu kwA thaman na utajiri. US akapendekeza kumuongeza Canada na EU wao wakamuweka Italy then wakawa US, UK, France, German, Italy, Canada na Japan as G7. At that time baadae Russia akajiunga ikawa G8 figisufigisu Russia akatoka sasa malengo ya G7 as economic group likawa advantage ya kisiasa kwA G7 members kwamba tunakopeshana hela kuendeleza Nchi zetu tutalipana baadae thus why US ana madeni. Yakapatikana maslahi Middle East hizi crisis na ugaidi kwA Nchi za kiarabu basi G7 Kutoka kuwa economic ikawa political kushughulikia masuala ya ugaidi wa Middle East... EU ikasema Middle East crisis haiwezi kuisha bila Russia kuwepo G7 inabidi 2017 tumushawish awepo sababu nae anabomb Middle East...China habomb Middle East Wala hana maslahi Wala biashara pale Kwahiyo China hahusiki labda akaribishwe kwa kuwapa Ushauri. Again ni hivi mwenye strong democracy ndo anaingia G7 sasa china hana strong democracy hence hawezi kuona kibanzi kwa ndugu yake wakati haliangalii boriti jichoni mwake.ivi kigezo kikubwa cha G7 ni nini
na kwanini China hadi leo iko kundi la BRICS
ndo itakuwa ivyo milele au
ChumviPia wajapan ni wafanyakazi hodari sana.Kwenye ofisi nyingi kuna vitanda watu hulala humo ofisi ili kuokoa muda wa kwenda nyumbani na kurudi ofisini............kitu kama hicho.
Vip kuhusu yale mambo yetu chair fire17. Japan ni nchi ya pili inayoongoza duniani kwa kuvuna mazao ya baharini {samaki+viumbe wengine} ambapo kwa mwaka huvuna zaidi ya tani 4,072,983
18 Japan ndio nchi inayoongoza kwa biashara ya Nyangumi ambapo kwa mwaka 2015-16 zaidi ya Nyangumi 330 walivuliwa
Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:-
1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852.
2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na idadi ya watu 127 million.
3. 53.5 % ya eneo lote Japan ni milima. Eneo linalofaa kwa makazi ya watu ni 13%
4. Vijana (0 - 14 yrs) ni 12.8% na (15-64yrs) ni 61.3%. Wazee/watu wazima ni wengi kuliko vijana.
5. Japan ina changamoto za sunami, mvua kubwa, mafuriko, tetemeko la ardhi na maeneo mengi kuganda na barafu
6. Japan haina Rais, ina Waziri Mkuu na Wizara zake 11
7. Japan ina miji 745 , majiji 770 na vijiji 183
8. Serikali kuu ina wafanyakazi 0.64 million na serikali za mitaa ina wafanyakazi 2.74 million
9. Asilimia 53.5 ya wanaomaliza vidato vya juu hujiunga na vyuo vikuu
10. Wanafunzi wa Olevel ambao hufaulu na kuingia high school n 98.2%
11. Vitabu, ada n bure kwa wanafunzi wrote
12. Asilimia 100 ya watoto wanaomaliza shule ya msingi hujiunga na masomo ya kidato cha kwanza
13. Japan n nchi ya 2 kwa utajiri duniani
14. Japan haizungumzii elimu, barabara, nishati, usafiri, madawa, vyakula etc
15. Japan hakuna malaria wala dawa za malaria.
16. Kukumbatiana, kuhagi, kumshika mtu bega, mikono, kumwangalia mtu sanaaa, kutongoza, kuongea na simu kwenyr mhadhara au mbele za watu hairuhusiwi.
Kwa leo ni hayo tu, kama una swali uliza nikujibu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I'm not sureVip kuhusu yale mambo yetu chair fire
Uchina vipi tajir lkn watu wake maskin wengi?Siyo ya pili , ni ya tatu
1. USA $17.95trillion
2.China $11.7tr
3.japan $5.5tr
4.German
5.Uk
6.france
7.Brazil
8.Canada
9.Italy
10.India
Watu kama hawa system inawakataa. Washajiwekea misingi ya uadilifu na uwajibikaji ukiwa na longolongo hauwezi fanikiwa.Hivi kina bashite watakuwepo japan kweli na watu wenye akili mbovu km hawa nzi wa kijani wazee wa ndiooooooooo
Mpaka wanafika hapo ina maana nchini kwao hamna hizo takataka.Hivi kina bashite watakuwepo japan kweli na watu wenye akili mbovu km hawa nzi wa kijani wazee wa ndiooooooooo