steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,512
- 13,723
Sasa dirisha likiwa kubwa unataka kumuona nani huko mawinguni maana huwezi hata kumpungia mtu juu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hakuna atakaye kuona kama umepanda ndege.
labda amwone mtoa roho anafananaje?